Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,946
- 146,160
Suala si kwamba mimi sijui.Duh, kama wewe hata hilo hujui, basi hapa sio mahala pako
Suala ni kwamba wewe inaonekana hujui The Socratic Method.
Unajua The Socratic Method ni nini?
Suala si kwamba mimi sijui.Duh, kama wewe hata hilo hujui, basi hapa sio mahala pako
Wewe si umekuja kujadili mada hapa kuhusu Allah na maajabu yake, tujadili, usiogopeBasi ongelea ya kwako,yangu yaache
USHAMBA UKIUONA UTAUJUA?.Sio AI hiyo wewe acha ushamba
Hiyo ni Nje ya mada.Suala si kwamba mimi sijui.
Suala ni kwamba wewe inaonekana hujui The Socratic Method.
Unajua The Socratic Method ni nini?
Kwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Si ndio kama wa kwako huoUSHAMBA UKIUONA UTAUJUA?.
Thibitisha kuwa ni AIHii ni picha ya AI.
Lakini kuna funzo pia umetoa kuhusu "imani"
Ukishatumia neno kama hiyo inamaanisha huna UHAKIKA.Si ndio kama wa kwako huo
Asiyejua maana, haambiwi maanaHapo ajabu ni lipi mkuu? Dadavua kidogo, huenda sote hatujaona kitu ulicholenga
Mie muislam pia.
Kaa karibu na mtu wa kukusaidia kisaikolojiaKwa haraka haraka ukitazama hiyo picha unaona nini? Je ukiitazama kwa makini unaona nini? Basi hayo ndio maajabu ya Allah
View attachment 3425653
Wewe si umekuja kujadili mada hapa kuhusu Allah na maajabu yake, tujadili, usiogope
Mtu wa system unaweza kumuweka mdogo wangu kwenye system ?Mm muislam pure ila waislam mnatufanya tuonekane tuna elimu ndogi na hii AI inavokuja ndo tutazid kuonekana vilaza
Asiyejua maana, haambiwiHapo ajabu ni lipi mkuu? Dadavua kidogo, huenda sote hatujaona kitu ulicholenga
Mie muislam pia.
Mzee hunijui, sikujuiHuyu aliyeanzisha uzi sio muislam jamni..
😂😂😂😂😂
Kuna watu huwa wanapenda sana uchokozi humu ndani daah oya jacobo futa uzi wako
Yaani Hujawahi kuona maajabu ya Allah?Sio maajabu niliyoona mimi
Inaeezekana ila sio kwenye system niliyopo mm iyo haiwezekaniMtu wa system unaweza kumuweka mdogo wangu kwenye system ?
Inawezekana.Inaeezekana ila sio kwenye system niliyopo mm iyo haiwezekani
Basi huna maana yoyote, uislamu haujawahi kukataza kutoa elimu, hapo umeenda kinyume na mafundisho ya mtume s.a.w, ikiwa unaijua hata herufi 1 tu ya quran basi fundisha hiyo hiyo..Asiyejua maana, haambiwi maana
Sema we jamaa jau sana...Asiyejua maana, haambiwi
Mzee hunijui, sikujui