Maajabu ya Allah yanavyojionyesha hadharani

Maajabu ya Allah yanavyojionyesha hadharani

Sasa mbona mnang'ang'ana wakati amenda kinyume na Quran usicheke na kuniita mbumbbu kabla hujatafakali coz viraza mnapenda kukurupuka kujibu bila kitafakar
 
Kwa hiyo elimu yako ndo imekusaidia kujua kuwa kwa kuwa yesu alikuwa anasema nimetumwa na baba basi yeye ni mtoto aliyezaliwa na Mungu 😃
Wewe ndio mjinga ukiacha yesu mbona hakuna nabii mwingine aliesema nimetumwa na Baba shida watu ambao hamna shule unakurupukaga kutoa majibu bila kufikilia
 
Wewe ndio mjinga ukiacha yesu mbona hakuna nabii mwingine aliesema nimetumwa na Baba shida watu ambao hamna shule unakurupukaga kutoa majibu bila kufikilia
Yeremia 31:9 Mungu anasema yeye ni baba wa Israeli na Efraimu ni mzaliwa wangu wa kwanza
 
Nenda memkwa tahira ww
We jamaa una shida za akili nyie si unamuta nabii ISSA au Quran inadanganya
Mbona hasira tena 😃😀😄
Nabii Issa sio yesu
Haya kwenye biblia kuna wengi tu wameitwa wana wa Mungu je nao ni wazaliwa wa Mungu kama yesu???
 
Kama mnaikataa miujiza hyo basi ikubalini miujiza ya uumbaji wake
 
Back
Top Bottom