Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Mungu Anaweza Kuwasaidia Wapate Passport Visa Na Nauli Kupitia Maombi Yao Ya Dhati Lakini Sio Kusafiri Bila Hizo Nyaraka
Bubu, asante kwa habari hii! Nataka u flshaback na uone kuwa hata mitume wa zamani hawakuwa na hizo passport, visa na hata pesa. Mitume wa sasa hawana tofauti yoyote na wale wa zamani! Tatizo ni kuwa, watu hawana imani kabisa hasa mambo makuu yasiyo ya kawaida yanavyojitokeza. We subiri na utaona wakiondoka na injili itahubiriwa kama wanavyosema.
Nataka niwaambie wana jamii forums kuwa watu hao hawawakilishi Wasabato, ni kundi la watu tu walichanganyikiwa, Wasabato wa kweli ni watu makini. Tunao wainjilisti wasabato wanaozunguka dunia nzima wakihubiri injili lakini kamwe hawaendi bila visa.
Ni kweli na kama walikwenda kwa miguu hawa sasa wanafanya nini huko Uwanja wa ndege wa JK?Mitume walieneza neno la Mungu kwa kutembea kwa miguu, tena wakati huo sehemu kubwa waliyo pita ilikuwa mapori na jangwa.
Sasa kwani kwenda Iraq lazima Ndege? wakitumia miguu si itakuwa safi maana kabla ya kufika Iraq huko wanapopita wengi watanufaika na kupata ujumbe?
Ni kweli na kama walikwenda kwa miguu hawa sasa wanafanya nini huko Uwanja wa ndege wa JK?
Bubu, asante kwa habari hii! Nataka u flshaback na uone kuwa hata mitume wa zamani hawakuwa na hizo passport, visa na hata pesa. Mitume wa sasa hawana tofauti yoyote na wale wa zamani! Tatizo ni kuwa, watu hawana imani kabisa hasa mambo makuu yasiyo ya kawaida yanavyojitokeza. We subiri na utaona wakiondoka na injili itahubiriwa kama wanavyosema.
Bubu, asante kwa habari hii! Nataka u flshaback na uone kuwa hata mitume wa zamani hawakuwa na hizo passport, visa na hata pesa. Mitume wa sasa hawana tofauti yoyote na wale wa zamani! Tatizo ni kuwa, watu hawana imani kabisa hasa mambo makuu yasiyo ya kawaida yanavyojitokeza. We subiri na utaona wakiondoka na injili itahubiriwa kama wanavyosema.
Nadhani hao watu hawakuwa na hio safari, they are just doing that to get some misaada, or else they are running mad.