Maajabu haya Wasabato Wenye Imani Kali

Hawa ndugu zetu wanahitaji mwongozo wa jinsi ya kusafiri katika mataifa mbalimbali kwa taratibu.Wale wanowabeza, hawalewi ni kwa kiwango gani walivyoathrika na mafunzo ya imani yao.Ni watu wa kuonewa huruma.
 
hawa watu inawezekana watakuwa ni waasi wa wasabato!! kwa maana WASABATO halisia ni watu makini sana cdhani kama wanaweza kufanya ujinga wa aina hii hata kiduchu
 
Wasanii wanatafuta safari tu hao washajichokea maisha kwenye nchi ya Kikwete. Kama kuhubiri mbona bongo kuna sehemu kibao kwa Wabarbaig, Wairaq Wahadzabe na wengine Usukumani na ndanindani kwingine huko dini haijafika vilivyo bado?

Au kwa nini wasikatize boda kwenda misitu ya Congo kuwahubiria Mbilikimo Mbonelehi?
 
Sawa lakini walisafirije toka makwao mpaka DSM na baadaye Uwanja wa ndege? Ilikuwa kwa miujiza? Hawakutumia usafiri uliopo kwa taratibu zilizopo? TUSIMJARIBU MUNGU
 
Sawa lakini walisafirije toka makwao mpaka DSM na baadaye Uwanja wa ndege? Ilikuwa kwa miujiza? Hawakutumia usafiri uliopo kwa taratibu zilizopo? TUSIMJARIBU MUNGU

..You said it !
Hawatafanikiwa kwa sababu wanamjaribu Mungu !
Huwezi kumjaribu Mungu akakusikiliza, angekuwa amewatuma kweli kwenda huko wanakodai ... angetumia njia zake kwa uwezo wake mkuu alio nao .. kuhakikisha wanapata valid passports, visa airtickets etc.
Hawa wana matatizo makubwa ya kisaikolojia !
 
Bongo unafikiri ni rahisi kuishi!!! wajomba wamekaa porini wakaskuti wakaona njia ya kukwea pipa ni kujidai manabii na Mitume!!!
Wabebe basi asali ya mwituni na nzige kama alivyofanya Yohana kisha wakatize hapo Bahari ya Hindi kwa mguu dakika chache tu si watakua washafika mamtoni!!!
 
Hawa hata mirembe watakuwa wanapendelewa sana watakula na kulal bure kule, pia kuoga bure hawa dawa yao bakora tu!
 
God is everything and to him everything is possible to him!. They belive in God and he will help them.

WAPENDWA KABLA YA KU-THROW STONES TO THEM, KUNA VITU MUHIMU VYA KUVIANGALIA.......!
....... WAO WENYEWE WANASEMAJE ? KWA SABABU HAPA WE GET ONE SIDE OF THE STORY....!
endeleeni watu wa MUNGU, Mungu hufanya wapumbavu na wadhaifu wa dunia hii.......... kuwa wenye hekima na nguvu machoni pake (christian point of view)
 
Hi the other side of the story ndio ipi? kama unayo basi tuwekee tuione!
 
Mnawashangaa nini!!!!

Kwani nanyi mnapokaa misikitini/makanisani mnaomba nini???? Eti utasikia mungu tuondolee ufisadi, tuondolee umasikini, sijui tuondolee nini!!!! Mwafikiri hayo yote yanaondoka bila nguvu za mikono yenu???

Mi naona sisi hatutofautiani nao kifikra, tofauti tu sisi, kwa mfano TUNATA TUONDOLEWE UFISADI na hao wasabato WANATAKA USAFIRI WA BURE!!!!

Kwa maana hiyo, WOTE TWAHITAJI KUPELEKWA MIREMBE!!!!!
 
Kama ni suala la Imani basi waamini kuwa kila siku wamekula halafu wasile, tuone wata-survive kwa muda gani.
Hakuna jipya zaidi ya kutafuta ATTENTION.
 
Mnawashangaa nini!!!!

Kwani nanyi mnapokaa misikitini/makanisani mnaomba nini???? Eti utasikia mungu tuondolee ufisadi, tuondolee umasikini, sijui tuondolee nini!!!! Mwafikiri hayo yote yanaondoka bila nguvu za mikono yenu???

Mi naona sisi hatutofautiani nao kifikra, tofauti tu sisi, kwa mfano TUNATA TUONDOLEWE UFISADI na hao wasabato WANATAKA USAFIRI WA BURE!!!!

Kwa maana hiyo, WOTE TWAHITAJI KUPELEKWA MIREMBE!!!!!

Kama huu ndio mtizamo wako kaka/dada nakuonea huruma sana.
 
WAPENDWA KABLA YA KU-THROW STONES TO THEM, KUNA VITU MUHIMU VYA KUVIANGALIA.......!
....... WAO WENYEWE WANASEMAJE ? KWA SABABU HAPA WE GET ONE SIDE OF THE STORY....!
endeleeni watu wa MUNGU, Mungu hufanya wapumbavu na wadhaifu wa dunia hii.......... kuwa wenye hekima na nguvu machoni pake (christian point of view)

Mahesabu,
The other side of the story hii hapa.
 
Bubu, asante kwa habari hii! Nataka u flshaback na uone kuwa hata mitume wa zamani hawakuwa na hizo passport, visa na hata pesa. Mitume wa sasa hawana tofauti yoyote na wale wa zamani! Tatizo ni kuwa, watu hawana imani kabisa hasa mambo makuu yasiyo ya kawaida yanavyojitokeza. We subiri na utaona wakiondoka na injili itahubiriwa kama wanavyosema.

Kabla sijaenda mbele nadhani hawa Wasabato wako sawa. Ni kweli kwamba wanaweza kuwa kama Mitume wa Zamani lakini mbona wanataka kufanya vitu kwa Anasa za Dunia. Wanataka kufanya safari yao kuwa rahisi kwa kufikiria usafiri wa anga tu? Kufika kote huko wanakoenda nadhani wangeanzia huko Kyela na Kuingia Malawi kwa miguu na kutumia njia nyengine ambazo passport na visa haitakuwa issue sana huku wakieneza neno la Mungu nna uhakika wangefika tu.

Huu ni wendawazimu wa Hali ya juu. Kama kweli wana nia ya kueneza neno la Mungu kwa nini wasianze na uenezi wao katika majumba yao?
 
Hivi mpaka sasa wanaishije hapo airport? i mean wanakula nini na wanalala wapi? mwenye data p/se!
 
Bongo unafikiri ni rahisi kuishi!!! wajomba wamekaa porini wakaskuti wakaona njia ya kukwea pipa ni kujidai manabii na Mitume!!!
Wabebe basi asali ya mwituni na nzige kama alivyofanya Yohana kisha wakatize hapo Bahari ya Hindi kwa mguu dakika chache tu si watakua washafika mamtoni!!!
Duuh!
 
Back
Top Bottom