Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

asante kwa kunielewa passion lady...huyu lazima nimkomalie nione hiko anachokificha!!

umkomalie wapi bana? wewe vijisenti mbuzi huwa vinakutembelea? hebu toka naye somewhere kwa single night uone kama hajavuwa chupi huyo.
 
Huyo kwel mjanja, ni wasichana wachache wanaoweza kufanya hivyo kwa dunia ya leo. Ushauri wangu:Kama vp achana naye huyo hakufai, anahitaji wavumilivu wenzake. Naomba namba zake za simu tafadhali.

We noma sana....
 
mkuu nimetumia mbinu nyingi sana aisee kama vile kwenda nae zenji ila anashtukia mchongo anachomoa na kwa upande wa zawadi ndio ninajitahidi sana...she is a nice lady tatizo lake ni hilo tu baaaas!!

Si anataka kuolewa? Mwonyeshe uko serious, katambulishaneni na uanze mipango ya ndoa. Ukifika hatua flani muhimu sana na isiyo na return, simamisha mchakato na umpe dead line ya kutoa papuchi. Akikataa huyo kimbiza haraka sanaaaaa!!!

Ubabe ubabe tu. You the man!
 
Nyinyi mnaosema atakuwa mke halisi, kwa mantiki gani? Kumnyima papuchi kwenye uchumba ndo kipimo cha mke bora?

Mkuu huyo bado mtoto, nnavoona. Au la, ni mshika dini hatari. La sivyo, anajaribu kucheza na akili yako ili uwahishe ndoa. Mi ningeendelea nae huku napiga kwingine hata kwa miaka. Mwisho wa siku atajishtukia tu.
W
Kwani akifanya naye uzinzi ndo atakuwa mke mwema.mbona machangudoa wapo wengi akawachukue hao tayari wameshakuwa wajuzi.
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi. Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu. Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza! Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!! Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa? Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Mkuu Bundeskanzler hapo kwenye RED ndo shida ilipo na nadhani ndipo alipopashtukia. Je vipi ukitest/ukijaribu kisha ukakuta LA!!. Si ndo hapo sasa utakula kona kali na kumwachia maumivu tele? Ni bora endelee kukunyima kwani unasumbuliwa na tamaa ya ngono tu. Ikiwa unaharaka nae, na haupendi michepuko nenda kalipe mahari na ufunge ndoa haraka.
 
Last edited by a moderator:

ndoa na iheshimiwe na watu wote katu huwez fananisha na kiatu ambacho kinakanyaga kila kona ya kinyaa, ww kama umempenda utayaheshim maamuz yake, kwan ukimuoa utaenda ulaya bila visa lakini mm nkushangae tu kwa maana miez minne tu ushataman kumfokonyoa mtoto wa watu dah. Hata yy amejifkiria ndo maana akakataa ila atleast ungesubiri kwa mwaka mzma kama mm ungefaidi sana kijana wangu. Ashakum c matusi
 
Huyo kwel mjanja, ni wasichana wachache wanaoweza kufanya hivyo kwa dunia ya leo. Ushauri wangu:Kama vp achana naye huyo hakufai, anahitaji wavumilivu wenzake. Naomba namba zake za simu tafadhali.

sasa mkuu wewe utawezaje kumvumilia?!!
 
umkomalie wapi bana? wewe vijisenti mbuzi huwa vinakutembelea? hebu toka naye somewhere kwa single night uone kama hajavuwa chupi huyo.

ngoja nitajaribu kwenda naye visiwani kama vile mombasa..vijisenti mbuza mbona vipo mkuu!!
 
ndoa na iheshimiwe na watu wote katu huwez fananisha na kiatu ambacho kinakanyaga kila kona ya kinyaa, ww kama umempenda utayaheshim maamuz yake, kwan ukimuoa utaenda ulaya bila visa lakini mm nkushangae tu kwa maana miez minne tu ushataman kumfokonyoa mtoto wa watu dah. Hata yy amejifkiria ndo maana akakataa ila atleast ungesubiri kwa mwaka mzma kama mm ungefaidi sana kijana wangu. Ashakum c matusi

daaah wewe ndio unipendi kabisaa aiseee. yani unazungumzia mwaka mzimaa?!! i cant wait that long boss!!
 
Mkuu Bundeskanzler hapo kwenye RED ndo shida ilipo na nadhani ndipo alipopashtukia. Je vipi ukitest/ukijaribu kisha ukakuta LA!!. Si ndo hapo sasa utakula kona kali na kumwachia maumivu tele? Ni bora endelee kukunyima kwani unasumbuliwa na tamaa ya ngono tu. Ikiwa unaharaka nae, na haupendi michepuko nenda kalipe mahari na ufunge ndoa haraka.

kama ana uhakika kuwa yeye hajaaribu huko kunako utamu si aniachie niangalie mimi mwenyewe kabla sijalipa hizo mahari zao nyingi mkuu?!! ukiona anabana ujue kuna ubovu anajaribu kuuficha huko chini and i will never entertain that!!
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi ni Shake before use...unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom