Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

mombasa unawatafuta al shabaab? andaa $200 ya kupiga kibiriti single night nenda naye bagamoyo kabla ya yote kwanza unakwenda naye hotel reception for reservation na atajuwa kifuatacho itv usiku muda wa kulala.

ukilaza damu atakutana na kipanga na atambanduwa hata ndani ya siku 3 tu na akimkoleza mashine hiyo ndio kwaheri hatorudi tena kwako.

damn it!
 
Hebu jaribishaneni kwanza, tumechoka kushauri wasiofikishwa kila siku...
 
NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Kwa data za JF wanawake ndio wanakutana na wanaume vimeo than vice versa... jua siku akikupa na wewe utakuwa unakaguliwa...
 
Kwa data za JF wanawake ndio wanakutana na wanaume vimeo than vice versa... jua siku akikupa na wewe utakuwa unakaguliwa...

mimi sina tatizo si ninajiamini bwanaa...ila kuhusu data zako siwezi confirm!!
 
Sasa maajabu gani!!!! Ungekuwa karibu yangu ungepata kwenzi saivi, yani mtoto wa watu ajiheshimu afu we uje kumvunjia heshimake looh!! Pole sana
 
Kama kweli unampenda:
Utamlinda/utajilinda mvumilivu hula mbivu huenda bado hajakwiva.
 
Sasa maajabu gani!!!! Ungekuwa karibu yangu ungepata kwenzi saivi, yani mtoto wa watu ajiheshimu afu we uje kumvunjia heshimake looh!! Pole sana

hata kuwa na malengo ya kumuoa nayo ni kumuheshimu sana tu mbona...wangapi wamemgusa then wakamtema bwanaa!!
 
Huyu msichana tangu tujuane na kuwa wapenzi mpaka sasa ni takriban mwezi wa nne hivi.

Ni binti aliyehitimu kidato cha sita mwaka jana na kutokana na upole wake na ukarimu kwa kweli nimempenda na ikiwezekana anaweza kuja kuwa mke wangu.

Ila cha ajabu ni kwamba kila ninapomshawishi tukutane kimwili anakataa kata kata anasema hawezi kufanya mapenzi na mimi mpaka nimuoe kwanza!

Sasa mimi nawezaje kununua kiatu bila kukijaribisha kama kinanitosha au la?!!

Huku si ndio kulazimishana kuwa na michepuko sasa?

Nimepanga kumuomba kwa mara ya mwisho na kama akikataa namuacha natafuta mwingine, siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Au mnanishauri nini wakubwa zangu...naombeni uzoefu wenu wakuu.

NA WASICHANA WA SIKU HIZI UKIOA BILA KUWA KAGUA KWANZA UTAKUJA KUOA MAJANGA NA UTAJUTA HUKO MBELENI!
Asanteni!

Acha tamaa, kama unampenda utamsubiria, kwanza mtoto wawatu mdogo huyo na anajitambua. miezi minne tu unalalamika je ingekuwa miaka minne? mwache mtoto asome acha kutaka kuharibu ndoto zake.
 
Acha tamaa, kama unampenda utamsubiria, kwanza mtoto wawatu mdogo huyo na anajitambua. miezi minne tu unalalamika je ingekuwa miaka minne? mwache mtoto asome acha kutaka kuharibu ndoto zake.

nani kakwambia mapenzi yanaharibu ndoto za mtu...nina malengo nae mema mkuu hili jambo dogo ndio linalomsumbua.ie.kauchoyo kwangu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom