Sikuchakachua bana mie nataka maandamano wewe unasema nachakachua kule huwa nabeep mara moja moja si sana kivile
Kule unaweza kutokwa na povu la ajabu
Mmmh! Napita tu jamani Manake mimi sio super-star wala celebrity
kumbe sometimes napaswa kupitiapitia hili jukwaa,
Kwani mwenzetu una-write au una-type?
lol..but mmu ndio kuna malalamiko kibao!
bora hapa chit chat!
hapa ndio kila mtu anajiachia anavyotaka
Siku hizi na mimi nimekuwa mfuatiliaji sana wa chit chat
MMU malalamiko ya ndoa nayo yamekuwa mengi karibu nako kutakuwa sio stress free tena
Huku ndio mambo yote bana
Sikuchakachua bana mie nataka maandamano wewe unasema nachakachua kule huwa nabeep mara moja moja si sana kivile
Kule unaweza kutokwa na povu la ajabu
Tupo pamoja my broda!yeah Canta...hapo sasa tunaenda sambamba..
Nyie hapo juu..... Habari zenu bana!!
habari zetu nzuri bana
mzima wewe
Nyie hapo juu..... Habari zenu bana!!
habari pouwa kabisa..uliisusia hii sredi yetu! Sijui nani leo kakuibua!
Khaaa!! Rocky hio list hapo Juu.... Mbona imekamilika saana!! Ka' vile ni "copy na kupaste" na niseme yangu.... Rocky ( I L......... U) too...
Yaaani uliniudhi niece.... Umeshindwa hata mtumia zawadi mdogo wako..... I am Sad. (Sijui unibembeleze kwa style ipi)
anti nisamehe jamani, namwandalia kazawadi kazuri. Nikirudi nyumbani nitampa.
Smile kidogo eeh anti....ukinuna unakuwa mzuri ila ukismile unakuwa mzuri zaidi. Waoooh! Nimeona ushasmile. Thanx.
Nyie hapo juu..... Habari zenu bana!!
hahahaha.... Nimecheka Mpenzi... hio sector niece nakuaminia.... na nisha kusamehe siku nyingi... Si wajua ninavokupenda..... Haya kua na siku njema, na wacha tabia yako ya kulala nje.. nimechoka kukutetea kwa anko wako....lol
@ Mr. Rocky kusema mbele za watu ndo nini? Unataka kila mtu ajue mie ni small house na unajua Mama Tuli yupo hapa
Lol, thanx a lot mpendwa! Mie penda wewe sana(hope hapa utapaka rangi nyeusi)..Wa kwangu kiasi ( list ni ndefu sana)
AshaDii ( I L......... U)
Mama Tuli ( my wife wangu)
Dena( jitangazie mwenyewe)
Smile (mhhhh naogopa kusema )
Sweetlady (TF namuogopa sana)
Bebii
MJ1
Cantalisia
Gaijin
Gaga
Chauro
Husninyo
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Afro Denzi
The Finest (PA pamoja sana viwanja kwa sana)
The Boss
Journe ( kwa mrombo lini aise)
Rejao (mzee wa jukwaa la stress)
Kloro (lawyer nina kesi unatakiwa unisimamie)
Asprin(Babu heshima mbele)
Funzadume( Mhhh naogopa kulitaja lile jukwaa maarufu)
Kibweka
Kibanga
Lizzy
Russian
Kaizer
Katavi
Mtambuzi
Mamndenyi
King'asti
Kimey
Fidel
Pj
Baba Enock
Teamo
Mzee wa Rula
Bishop Hiluka
Excellent (jukwaa la vichekesho)
MTM
Voice of reason
.................................list inaendelea
Ya kwako na uporoto ulimwalika nani?...halafu ndoa ya mr rocky na mama tuli ilikuwa lini? Hata kualikana huo ubwabwa jamani!