Sana tena. Tena wanapenda kweli biriani.
Halafu mwezi wa Ramadhani, nyumbani nafuturu na wasio Waislam wengi kuliko Waislam. Nimejijengea kawaid ya kuwaalika na kufuturu nao kila Ramadhani na nimejijengea kawaida ya kuwaalika marafiki zangu Wakiislam na wasio Waislam kupata lunch pamoja siku za Ijumaa.
Wengi wamezowea wakiwa na hamu ya biriani wanajuwa Ijumaa wapi kuna biriani la kukata na shoka. Wiki hii ya nyama ng'ombe, wiki nyengine ya nyama ya mbuzi, wiki nyengine ya nyama ya kondoo, wiki nyengine kuku, wiki nyengine samaki.
Kitimoto marufuku.
AlhamduliLlah.
Hujawahi kukirimiwa na Muislam?