Ma-handsome hawana lolote kitandani


Hee! Kumbe ndo hivi... .
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Mkuu hapo hata sioni relationship yoyote, umahiri wa mtu katika ili swala haupo katika muonekano wa nje
 
kama kuna kaukweli fulani hivi
Nadhani huo ni ushauri umetoa siyo lazima uzingatiwe,cha muhimu watu wafanye utafiti wenyewe.
Huwezi kulazimika kuoa au kuolewa na mwenye surs isiyokupa amani moyoni kisa eti unataka kurizishwa kitandani.
Kila mtu alivyoumbwa ana wake humu duniani,nadhani tuzingatie hilo.
 
Hebu tuanze kujadili kwanini wanajiunga vyuo vikuu kwa kutumia diploma hawapewi mikopo na bodi?
 
kusimamia show kipaji, lishe na ukanda, naishia hapo.
 

Syo kweli kuna mahnsam pia shughuli yao ni pevu... pia kuna wenye pesa zao nao wapo vzr inategemea mtu na mtu
 
Last edited by a moderator:
tukikuuliza umejuaje utasema umefanya uchunguz aya sasa utuhabarishe uchunguz wako uliufanya practically or theoritically??mmh
 
Si kwamba mahundsome hawawezi kazi,bali kazi ni nyingi kiasi kwamba wanachoka.
Huyo aliyetoa report ya kuwa hawawezi si ajabu kwenye msululu alikuwa mbali akakuta
dawa ya babu wa loliondo original imeisha kwenye kikombe akapewa majani pori.
 
Hakyamama mods wana hila na macho Yangu my Wii!si waneifuta!

Sasa kuwakomesha ukiniquote hii post uniwekee!
This is family business no one mess with Mke wetu and get away with it!
Eti OLESAIDIMU?

Oooonh yeah family endeavour!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…