masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,825
- 16,903
mimi sina tatizo lolote labda hii drama hujailewa ilikoanzia, mwanamke kutongozwa ni sunna na asipotongozwa basi ana matatizo makubwa, lakini huyu ameanza tabia ya kila thread kufanya personal attack na humiliation kwa lara 1 bila sababu.
msg za huyu jamaa kumtongoza Lara 1 mimi alinionesha nikamwambia sioni tatizo wala ubaya wowote ila leo ndio baada ya jamaa kuzidi personal attack ikabidi Lara 1 azimwage hapa screen short short ndio jamaa akakimbilia kwa refa pm zikafutwa baadaye thread ikafungwa.
akitaka amani aishi maisha yake aachane na maisha ya watu, hata strippers wana waume zao.
mmmmh aiseee