Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Unajidanganya!
Huwezi kujua uwezo wa watu wote,anaweza akawa handsome au ana pesa na akapiga mzigo fresh.
Sijui ww uliwajuaje?
labda alifanya field.
Unajidanganya!
Huwezi kujua uwezo wa watu wote,anaweza akawa handsome au ana pesa na akapiga mzigo fresh.
Sijui ww uliwajuaje?
Hivi ile senema gani mwisho imeandikwa "based on true story"!!!!!
Escape from Sobibor
Huu umaarufu wa kuweka sredi nyingi JF unawapeleka kubaya!
Sasa hapa nikikuuliza ushaona performance za mahandiii wangapi utarusha ngumi!
Vp kuhusu madushe yao ?marefu mafupi?.
Enh ndo maswali unataka tukuulize!,na uyajibu!
Escape from Sobibor
usinikumbushe concentration camp.
mchunguzi huru wewe ni wa kike? kuna shuhuda tunategemea kuzipata kwa wahusika wenyewe.
Mimi ni handsome na kitandani ni hatari pia
vip wenye vitu vyote handsome, anapesa, mgegedaji mzuri, elimu kubwa, hana kibamia..? your research is bias and is not significant statistically
Sema sasa ukutane na kauzu kama mimi, natongoza nimenuna mwanzo mwisho
Nyie mnaouliza jinsia ya mchunguzi huru mna shida. anaweza akawachukua ke kadhaa na me wa aina anayoitaka kisha akaangalia ni ke waliokutana na me gani walioridhika zaidi.
Mchunguzi huru ni me sasa hao ma hendsamu walikugonga ndo ukajua kua hawawezi kazi?
samahani lakini.