Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Hata mimi shahidi...tehe
Kumbe ........!!
Hata mimi shahidi...tehe
Kwa jinsi ulivyo pimbi umeshindwa hata kunyambua sentensi dogo kama hii.
Unadhihilisha wazi ni jinsi gani ulivyo katahira ka kiwago cha juu kabisa.
Nikiendelea kubishana na wewe ni kutharirisha utu wangu, maana wewe unasumbuliwa na bahele, mimi mzee wa zamani niliecheza na mamayo enzi hizo nitaweza wapi kubishana na kivulana.
posho yetu umbea!
kwenye fani hiyo mke wetu nakupa umonita.
Nina maswali nami kabla ya kujibu hilo,niyaelekeze kwa nani hasa anayetaka kujua hayo?
hahahhahahaha nimekusamehe tayari!
kumbe una stress za kunyimwa mkopo?
hakyamama JF kweli kichaka!
kwa hiyo unaamini wote humu tuna omba mikopo ya vyuo?
mxiiiiiiiiiiou
sura kama unapiga mswaki!
Kama mie napiga hawa watu,mpaka aongee lugha zote.
Ina make sense eeh?nimependa ulivyoconclude na signature yako pia!
haahahaahaah uwiiiii eti sura kama unapiga mswaki