Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

Starehe pekee tunayoimudu sisi walalahoi ni kudinyana tu......kwa hiyo lazima tujitume sana eneo la tukio...........
 
Nisawa na wanawake ambao katika watu kumi wawili watakwambia mzuri kwa mujibu wa viwango vyao ila siamini kama kuna mwanamume au mwanamke mbaya.
Hao wanaosemwa wabaya wanajituma hao hawana mazoezi hao ni mechi tu ukiwaona usiseme acha nikate kiu leo tu. Duh unakutana na kitu mnato unachanganyikiwa! ulikuwa unaenda kwa kuibaiba mwisho unaona upuuzi mchana jua kali unazama.
 
Hapo the reality is handsome boys hutumika mara nyingi coz wana attract mademu wengi easly. So, unakuta huchoka........ While ugly guys hawatumiki coz hawapendw, xo anapopata chansi huitumia vzr kwan hawana uhakika wa chansi nyingine
 
kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa.

Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza tanzania na africa mashariki na kati.
..............................................
Update: Nimeulizwa sana swali kwamba "wewe supu ya mawe umejuaje kuhusu hilo swala"
kiufupi ni kwamba, mimi ni mchunguzi, na nimebobea katika hili swala. Hivyo kwa kutumia njia zangu za kiuchunguzi nilifanya mahojiano na wanawake tofauti na nikabaini hayo niliyowasilisha hapo. Kubali au kataa, wanaume ma-handsome hawana lolote kitandani, wanatumika kupiga picha tu.
.................

by: supu ya mawe
totaly wrong...!!
 
Back
Top Bottom