Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

Amna kitu kama icho mwanaume aweza kua na sura mbaya na asiweze vilevile....na mwngne akawa handsome na akaisimamia vilivyo
 
Huu umaarufu wa kuweka sredi nyingi JF unawapeleka kubaya!
Sasa hapa nikikuuliza ushaona performance za mahandiii wangapi utarusha ngumi!
Vp kuhusu madushe yao ?marefu mafupi?.
Enh ndo maswali unataka tukuulize!,na uyajibu!

Kwani mleta mada ni jinsia gani mwalimu?
 
mimi sina tatizo lolote labda hii drama hujailewa ilikoanzia, mwanamke kutongozwa ni sunna na asipotongozwa basi ana matatizo makubwa, lakini huyu ameanza tabia ya kila thread kufanya personal attack na humiliation kwa lara 1 bila sababu.

msg za huyu jamaa kumtongoza Lara 1 mimi alinionesha nikamwambia sioni tatizo wala ubaya wowote ila leo ndio baada ya jamaa kuzidi personal attack ikabidi Lara 1 azimwage hapa screen short short ndio jamaa akakimbilia kwa refa pm zikafutwa baadaye thread ikafungwa.

akitaka amani aishi maisha yake aachane na maisha ya watu, hata strippers wana waume zao.

Sitegemei haya maneno yatoke kwenye kinywa cha mtu mzima anaejitambua, lazima atakuwa ni mvulana anaesumbuliwa na barehe ndio atakuwa kayaandika haya maneno.
 
Hebu tuanze kujadili kwanini wanajiunga vyuo vikuu kwa kutumia diploma hawapewi mikopo na bodi?
hahahhahahaha nimekusamehe tayari!
kumbe una stress za kunyimwa mkopo?
hakyamama JF kweli kichaka!
kwa hiyo unaamini wote humu tuna omba mikopo ya vyuo?
mxiiiiiiiiiiou
sura kama unapiga mswaki!
 
Sitegemei haya maneno yatoke kwenye kinywa cha mtu mzima anaejitambua, lazima atakuwa ni mvulana anaesumbuliwa na barehe ndio atakuwa kayaandika haya maneno.

hivi ni nani anayetumia kinywa kuandika hapa jf? akili yako ndogo na hujielewi, dandia treni acha kudandia watu.

kama ni balehe au uvulana or whatever anaujuwa lara 1. au ungependa kumsubstute ili uwe shuhuda wa balehe yangu?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi kabisa naweza kusema MMU imegeuka Bunge Maalum la Katiba ndogo....

Ngoja niwahi kaunta ya juu kwenye screen kubwa.
 
hivi ni nani anayetumia kinywa kuandika hapa jf? akili yako ndogo na hujielewi, dandia treni acha kudandia watu.

kama ni balehe au uvulana or whatever anaujuwa lara 1. au ungependa kumsubstute ili uwe shuhuda wa balehe yangu?
Kwa jinsi ulivyo pimbi umeshindwa hata kunyambua sentensi dogo kama hii.

Sitegemei haya maneno yatoke kwenye kinywa cha mtu mzima anaejitambua

Unadhihilisha wazi ni jinsi gani ulivyo katahira ka kiwago cha juu kabisa.

Nikiendelea kubishana na wewe ni kutharirisha utu wangu, maana wewe unasumbuliwa na bahele, mimi mzee wa zamani niliecheza na mamayo enzi hizo nitaweza wapi kubishana na kivulana.
 
Back
Top Bottom