Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,864
- 831,160
wewe umejuaje jamani
wanawake ndo wanatakiwa waseme
maana mmmh ushajua migegedo ya aina yote hiyo mmmh
Mpwa hilo nalo neno...!!!
wewe umejuaje jamani
wanawake ndo wanatakiwa waseme
maana mmmh ushajua migegedo ya aina yote hiyo mmmh
mchunguzi huru we ulijuaje hayo yote
refa nipo hapa
Wakati huo SI unit ya kuridhika ikiwa ni nini???!!Nyie mnaouliza jinsia ya mchunguzi huru mna shida. anaweza akawachukua ke kadhaa na me wa aina anayoitaka kisha akaangalia ni ke waliokutana na me gani walioridhika zaidi.
Najitolea kuwa laizmeni
Mm sijui kama ni handsome au la?
Perfomance yangu inabidi nimpate mtu humu halafu ataleta mrejesho kama ni Div 1 au Div 5
Sijaona episode za mwanzo
Mimi ni handsome na kitandani ni hatari pia
Sio mpango kaka!!!!
Let the by gones be so!!!!!
Hahahahaaa mimi sitongozaji kwa maneno mengi KITONGOZEO changu shekeli tuu
Mpwa hilo nalo neno...!!!
mimi sina tatizo lolote labda hii drama hujailewa ilikoanzia, mwanamke kutongozwa ni sunna na asipotongozwa basi ana matatizo makubwa, lakini huyu ameanza tabia ya kila thread kufanya personal attack na humiliation kwa lara 1 bila sababu.
msg za huyu jamaa kumtongoza Lara 1 mimi alinionesha nikamwambia sioni tatizo wala ubaya wowote ila leo ndio baada ya jamaa kuzidi personal attack ikabidi Lara 1 azimwage hapa screen short short ndio jamaa akakimbilia kwa refa pm zikafutwa baadaye thread ikafungwa.
akitaka amani aishi maisha yake aachane na maisha ya watu, hata strippers wana waume zao.