Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

kwanza mimi jf app for android kwangu sasa hivi haifunguki, nimeuninstall na kuinstall upya hola, natumia opera mini na mozira, hakuna notification zaidi ya pm wa access ya like button mpska naonekana kama mchoyo wa kutoa like.

kumbe ni wengi Nokia83 kuna muhanga mwingine mi asubuhi nilikua najiuliza leo no notifications maana kuna ka alama huwa kananionyesha leo hamna
 
Last edited by a moderator:
kwanza mimi jf app for android kwangu sasa hivi haifunguki, nimeuninstall na kuinstall upya hola, natumia opera mini na mozira, hakuna notification zaidi ya pm wala access ya like button mpaka naonekana kama mchoyo wa kutoa like.

nenda full site utakuta mwonekano wake kama wa kwenye kompyuta hapo utaona notification ila kuchangia lazima urudi touch site au wapsite
 
kwa heshima na ushauri wa wazee wenzangu OLESAIDIMU and my sisters wacha nikuweke kiporo tu.

the most important am the king na ndio nammega nakula mema ya nchi mbinguni mahesabu tu.

hahaha naona unautumia msemo wa mpwa ipasavyo....
 
Last edited by a moderator:
hii ndo em em yu.......napita kwa kasi.!
 
kwa heshima na ushauri wa wazee wenzangu OLESAIDIMU and my sisters wacha nikuweke kiporo tu.

the most important am the king na ndio nammega nakula mema ya nchi mbinguni mahesabu tu.


Na huu ndio undugu sio tu majina ya baba au kufanana sura, la hasha ni kuheshimiana kwa staha na kusikilizana penye heri mkuu Matola
 
Last edited by a moderator:
Yani nawashwaje macho!.
Sina tu namna !.
Vipaji vingine ni inborn blaza sema tu ndo hivo
Poor me!!!!
We festi boni wao tena nkajua labda hata kwa kulumagia tu kumbeeeee danh!!!
Toa khanga zooote kabatini ukune hayo macho sasa
 
WHAAAAAAAAT.? So you think i deserve their wrath? Reallly? Take back your oders or i will have to disobey you my King! MY HONOR IS AT STAKE HERE! Please reconsider my lord!

Teh teh teh shemeji yetu Matola wa JF tu naona siku hizi ana improve English japo ndio tabu kidogo kuandika sentence nzima ya mistari miwili, hongera lara1 na Ras Simba


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Hhaahaahhaaha umejuaje aisee kweli wewe uko vikosi vyote vya anga,cha farasi,cha majini duuu thanx sana


aisee nilikosa uondo sikuona huo uzii asubuhi mods na wenyewe wikiend yote hiii kuamka asubuhi ahaaa
Nimekuekea tenaa wahi sasa cc Khantwe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom