Ma-handsome hawana lolote kitandani

Ma-handsome hawana lolote kitandani

mimi sina tatizo lolote labda hii drama hujailewa ilikoanzia, mwanamke kutongozwa ni sunna na asipotongozwa basi ana matatizo makubwa, lakini huyu ameanza tabia ya kila thread kufanya personal attack na humiliation kwa lara 1 bila sababu.

msg za huyu jamaa kumtongoza Lara 1 mimi alinionesha nikamwambia sioni tatizo wala ubaya wowote ila leo ndio baada ya jamaa kuzidi personal attack ikabidi Lara 1 azimwage hapa screen short short ndio jamaa akakimbilia kwa refa pm zikafutwa baadaye thread ikafungwa.

akitaka amani aishi maisha yake aachane na maisha ya watu, hata strippers wana waume zao.

Hee! Kumbe ndo hivi... .
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Mkuu hapo hata sioni relationship yoyote, umahiri wa mtu katika ili swala haupo katika muonekano wa nje
 
kama kuna kaukweli fulani hivi
Nadhani huo ni ushauri umetoa siyo lazima uzingatiwe,cha muhimu watu wafanye utafiti wenyewe.
Huwezi kulazimika kuoa au kuolewa na mwenye surs isiyokupa amani moyoni kisa eti unataka kurizishwa kitandani.
Kila mtu alivyoumbwa ana wake humu duniani,nadhani tuzingatie hilo.
 
Hebu tuanze kujadili kwanini wanajiunga vyuo vikuu kwa kutumia diploma hawapewi mikopo na bodi?
 
kusimamia show kipaji, lishe na ukanda, naishia hapo.
 
Kundi la kwanza: Ma-handsome boys, hawa kitandani ni hovyoo kabisa, wanadhani watapendwa kwasababu ya sura zao pekee na si kugegeda.

Kundi la pili: Wanaume wenye pesa, hawa wanadhani watapendwa kwa pesa zao hivyo hawana time ya kutumia nguvu zao nyingi kwenye kugegeda, pesa inaongea.

Wanawake wengi wanaotembea na makundi hayo hapo juu huchepuka kwa lengo la kutafuta kuridhishwa kimapenzi.

Kundi la mwisho: ni ndugu zangu namimi, sio mahandsome na wala hatuna pesa... aisee, mwanamke usimuachie mbunye mwanaume wa aina hii... lazima iote sugu, tena utakimbia na chupi mkononi, atakusugua mpaka utasikia raha baadae itakuwa maumivu na kero.

Wanaume hawa kwakuwa hawana pesa wala si mahandsome hivyo wao silaha yao ni kugegeda tu, hapo ndipo wanapochukua marks zao za bure. Wanawake wanaogegedwa na hili kundi la hawa jamaa mara nyingi huchepuka kutafuta mabwana wa kupiga nao picha na wenye pesa. Ila kwa kugegeda hili ndio kundi linaloongoza Tanzania na Africa mashariki na kati.
..............................................
UPDATE: Nimeulizwa sana swali kwamba "wewe MCHUNGUZI HURU umejuaje kuhusu hilo swala"
Kiufupi ni kwamba, mimi ni mchunguzi, na nimebobea katika hili swala. Hivyo kwa kutumia njia zangu za kiuchunguzi nilifanya mahojiano na wanawake tofauti na nikabaini hayo niliyowasilisha hapo. Kubali au Kataa, wanaume ma-handsome hawana lolote kitandani, wanatumika kupiga picha tu.
....................


MCHUNGUZI HURU

Syo kweli kuna mahnsam pia shughuli yao ni pevu... pia kuna wenye pesa zao nao wapo vzr inategemea mtu na mtu
 
Last edited by a moderator:
tukikuuliza umejuaje utasema umefanya uchunguz aya sasa utuhabarishe uchunguz wako uliufanya practically or theoritically??mmh
 
Si kwamba mahundsome hawawezi kazi,bali kazi ni nyingi kiasi kwamba wanachoka.
Huyo aliyetoa report ya kuwa hawawezi si ajabu kwenye msululu alikuwa mbali akakuta
dawa ya babu wa loliondo original imeisha kwenye kikombe akapewa majani pori.
 
Hakyamama mods wana hila na macho Yangu my Wii!si waneifuta!

Sasa kuwakomesha ukiniquote hii post uniwekee!
This is family business no one mess with Mke wetu and get away with it!
Eti OLESAIDIMU?

Oooonh yeah family endeavour!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom