Kivipi mwanaume hukosea kufanya ngono isionekane ni tamu na muhimu kujenga penzi kwa mwanamke wake

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
KIVIPI MWANAUME HUKOSEA KUFANYA NGONO ISIONEKANE NI TAMU NA MUHIMU KUJENGA PENZI KWA MWANAMKE WAKE.

Ngono ni tendo muhimu sana kwa wapenzi na wenza, hutegemea maafikiano kati ya watu walio kwenye mahusiano kama wanaweza kushirikina ama kusubiriana kutegemea na matakwa yao.
Mwanaume na mwanamke kujamiana huwafanya waweze kuungana zaidi kihisia na kuweza kujenga kuzoeana na kuaminiana zaidi kuwa wote ni wamoja na wanajuana utu wao. Kumvua chupi mwanamke na akaruhusu umuingilie ni kitendo cha pekee cha kujitoa ambacho mwanamke hufanya kuonyesha amekubaliana na wewe mwanaume na amekupa thamani ya kumjua utupu wake.
Lakini kwa wanaume kuna wakati hukosea na kumfanya mwanamke asione utamu wa tendo na umuhimu wake, kivipi?

Kufanya ngono kama ni jukumu lake mwanamke kutenda. Kitendo cha kumuingilia mwanamke kama yeye ndio anatakiwa akupe atake asitake ni moja ya jambo linalofanya wanawake wengi kuwachukia wanaume katika suala la ngono, mwanamke na mwanaume wanapaswa kutimiziana lakini hupaswi kumfanya kama punda kuwa ndio kazi yake kubeba mizigo, wewe muda wowote ukijisikia unampanda bila kujali yeye anahali gani. Wapo wanaume ni wakatili hata siku za wake ama wapenzi wao hawazijui na wapo wanaotumia kigezo cha siku kutoka nje na wanawake wengine. Neno kuchoka halipo kwa mwanamke ni mwiko kwa mwanaume haya hugeuka kuwa mateso.

Kumuingilia mwanamke bila kuamsha hisia zake za mapenzi. Ili kuwa na penzi tamu na lenye tendo tamu ni lazima wewe mwanaume uziamshe hisia za mwanamke wako mtie nyege nae aweweseke kutafuta namna ya kupoza hisia zake kupitia wewe. Lakini unapomuingilia kwa kuangalia muhemko wako tu unakuwa unafanya mapenzi na mtu asiye na hamu na hilo tendo, hawezi lifurahia. Mpandishe mizuka naye ajione stimu zinahitaji kulipuliwa itamjenga kushirikiana nawe vyema na kulipenda na kukuona wa thamani kwake.

Kujali kiridhika kwako. Wanaume huamini yeye ndio mtu anayepaswa kutimiziwa haja na mwanamke, anapo muungilia mwanamke wake na kukojoa, pale pale mchezo uisha na mwanamke kama hajamaliza yaani hajakojoa basi hukubali kubaki na uchachu wake. Lakini tayari umeshampa jeraha kubwa la wapi na kivipi atakata kiu yake. Mwanaume unapaswa kujua ishara za kuridhika na za kukojoa kwa mwanamke wako. Jifunze na kama hujui tafuta elimu ya mahusiano utaelimishwa.

Kutokuwa na muda wa kutosha kufurahia tendo. Kuna kiu kina kera kama kufanywa haraka na kuachwa na sio tu kuachwa bali hata kurudia hakuna. Inapaswa Mwanaume utafute muda wa kutosha, utaoweza kumtimizia mwanamke wako na akaridhika. Kitendo cha kufanya haraka na kuacha huumiza na hufanya pia uonekane unakasoro katika mapenzi ama hujali ama humfurahii. Wanandoa wengi muda wao ni usiku na wanapofanya huwa tayari wamelewa usingizi na wamechoka au muda ushaenda sana na hivyo huwahi kufanya ili wapate muda wa kupumzika. Kwa namna hii hakuna raha, ni njema utafute muda utaoweza kuwa na nguvu na kufanya mkafurahia. Kama ni mtu wa kazi hata wikiendi mchana au jioni fanya au kama ni usiku basi mapema fanya, hii ni afya.

Kutojali sauti ya mahaba ya mwanamke wako. Sio kila sauti huashiria furaha aitoayo mwanamke wakati wa tendo, zingine huwa ni maumivu ayapatayo katika tendo, maumivu mara zote humjengea uoga mwanamke kuogopa kuingiliwa na hata atapokubali, huwa hana raha zaidi ya kuwaza namna ya kujikaza kukufanya wewe mwanaume uridhike tu ila chozi lake la maumivu uvuja moyoni, jifunze kuisikiliza sauti ya mwanamke wako. Kuna wanaume anaposikia sauti ndio huchanganyikiwa uongeza kasi na kumbana mwili zaidi akiamini amemgusa kumbe anamuumiza.

Mikao isiyoumiza kulingana na maumbile yako na ya mwanamke wako.Jifunze kuepuka kuwa karaha katika tendo. Usipoitambua mikao inayomuumiza na inayompagawisha mwenza wako, pia itakufanya uharibu raha ya tendo na umuhimu wa tendo kwa mwanamke wako. Ni lazima ujifunze kwa kutambua maumbile yako, mikao mbali mbali na maumbile ya mwenza wako.

*Vitendo vya unyanyasaji wakati wa tendo. * Kila mwanamke anahulka zake, imani yake na mipaka yake. Yako maeneo hapendi kushikwa, yapo maeneo hapendi kuingiliwa, yapo maneno hapendi kuyasikia, yapo matendo hataki kuyaona mfano kushika maeneo fulani, kuingizwa vidole maeneo fulani, kutamkiwa maneno fulani na pia kupigwa hata kama ni kofi. Kuna wanaume wanapokuwa katika tendo huwa kama vichaa, hawajali kama anavuka mipaka. Ni lazima tujifunze kila mtu ananamna yake ya kulicheza chezo angalia kama hamuendani utajua kwa kuzungumza nae na kwa kuanza nae siku hiyo, vitu anavyovikataa viache, ukiendelea kuvifanya inakuwa unamboa na kumfanya ajute kukujua.

Kutokumsifìa mwanamke wako katika tendo. Hili jambo ni la faragha, siwezi yatoa maisha yangu yote kukuelekeza wewe kwa uzoefu wangu, ila vipo vitu unapaswa kuvikubali na kumueleza mwanamke wako kuwa amejaliwa vitamu, vinakusisimua na pia ni hodari navyo, hii ni zaidi ya zawadi inamjenga yeye kuwa jasiri na kuona haja ya kuendelea kuvifanya kwani unavutiwa navyo. Usipo msifia huacha kuvifanya kwani havikuvutii sasa vya nini ni wazi anajisumbua tu kwako.

Kuzitoa siri za faragha nje. Wanawake huchukizwa na tabia ya kuanikwa kwa nyeti zake kwa mwanamke mwingine au kwa marafiki wa mume wake ama mpenzi wake. Kuna siku niliitwa na dada mmoja ofisini kwake, alihitaji nimtengenezee kitu fulani ofisini kwake na baada ya kumaliza alinipa simu yake nimrekebishie program fulani inasumbua, nikiwa nahangaikia ghafla uliingia ujumbe, nami nikiwa nagusa, ile meseji niliifungua bila kutegemea na kuisoma, alikuwa ni msichana anayemchamba na kumtukana matusi ya nyeti zake na hadi alivyo katika tendo. Hii ni wazi ameambiwa na mwanaume wake, kwahiyo hata kama mwanamke wako yukoje katika tendo hupaswi kumtusi kwa kuzitoa siri za udhaifu wake nje na kama ukisikia wewe ndio mwenye tatizo itakuwaje?. Stara ni muhimu, kuumpa nafasi mwanamke wako ni kuendelea kumpa nafasi ya yeye kuona namna atayoweza kumaliza tatizo lililopo.

Kwa kuyazingatia haya utapata kujifunza kuwa, kuharibu raha na umuhimu wa tendo, wakati wote ni uamuzi na matendo unayoyafanya wewe mwanaume ama mwanamke, tendo ama ngono ni jambo unalopaswa kulitumia kumfanya uliyenaye aone umuhimu wa kuwa nawe na huzidi kumjenga kihisia kuungana nawe. Mapenzi katika tendo ni hisia, mnaposafiri wote kwa hisia moja hufanya muifurahie pamoja safari yenu, ikiwa kinyume basi mmoja atajichukulia yeye ni mburuzwaji tu katika safari.

#imarika
Na mwandishi: mmmuhumba
Kwa elimu ya mahusiano, ushauri katika mahusiano na meseji tamu za mapenzi.
 
KIVIPI MWANAUME HUKOSEA KUFANYA NGONO ISIONEKANE NI TAMU NA MUHIMU KUJENGA PENZI KWA MWANAMKE WAKE.
Ngono ni tendo muhimu sana kwa wapenzi na wenza, hutegemea maafikiano kati ya watu walio kwenye mahusiano kama
Uwe mke wangu halafu nikuamshe hisia, mimi zangu umeziamsha wewe? Ukiolewa na kivuli umejisitiri safari yako labda ila kama mume sina muda huo, cheche Kwa mwenza wako sio za kulazimishwa, nikuchagize mimi, basi wewe si pacha wangu, no friendship, no love, no happiness, feelings about love for couples should be automatic, when one feels like and. signals it to a partner it has be connected. Tuendelee kichokozana kimitizamo.

Usiolewe na mwanaume ambae huna mizuka automatic nae, I don't have to boost you God forbid I can't ni dharau sana.
 
KIVIPI MWANAUME HUKOSEA KUFANYA NGONO ISIONEKANE NI TAMU NA MUHIMU KUJENGA PENZI KWA MWANAMKE WAKE.
Ngono ni tendo muhimu sana kwa wapenzi na wenza, hutegemea maafikiano kati ya watu walio kwenye mahusiano kama wanaweza kushirikina ama kusubiriana kutegemea na matakwa yao.
Mwanaume na mwanamke kujamiana huwafanya waweze kuungana zaidi kihisia na kuweza kujenga kuzoeana na
Hili gazeti komesho komesha yaani sabuni ya ukweli
 
Acha kuwa mtumwa wa papuchi. Tafuta hela, kuwa busy na mambo ya msingi, ukimpenda mkojoleshe, ukimtamani jikojoleshe. Hakuna mtu aliyewahi kumridhisha mwanamke tangu ulimwengu umeumbwa. Utaishia kuwa dissappointed.Copy this.
 
Mwandisha emu fanya editing ya andiko lako weka space aya baada aya linachosha kusoma umebananisha mnoooo tunaumia macho...
 
Hii ni hotuba ya masikini
Mi nafanya ushauri katika mahusiano, nakutana na matajiri wengi na vijana watafutaji wenye mitaji mikubwa lakin wanakumbana na changamoto za mapenzi, kwahiyo mapenzi ni hisia, umaskini na utajir wote wapo katika kuitafuta starehe ya mapenzi. Ni muhimu kujifunza kupitia maisha ya hao matajiri unaowajua.
#imarika kuyajenga mapenz ni afya akili na sio hadhi
 
Acha kuwa mtumwa wa papuchi. Tafuta hela, kuwa busy na mambo ya msingi, ukimpenda mkojoleshe, ukimtamani jikojoleshe. Hakuna mtu aliyewahi kumridhisha mwanamke tangu ulimwengu umeumbwa. Utaishia kuwa dissappointed.Copy this.
Kutafuta pesa na mahusiano ni vitu viwil tofaut, unatafuta pesa ama utafitu pesa ni lazima utayahitaji mapenzi. Pesa ni kifaa tu cha kurahisisha maisha lakini akiwez kukupa kila kitu chenye kugusa hisia zako. Unapoweka sex mentality ndio hiyo unayofikiria kuwa hakuna anyeridhik katika mahusino bal yupo anayeamua kuwa na mtu fulani katika mahusiano kubwa is value and not actualisation.
Bila mapenzi usingezaliwa Ndugu Mixologist.
#asante kwa mawazo yako
 
Yan hata bado hatujaamka,eeh hata kuswaki bado mwenzetu unaamka na nyuzi za ku.t0&MB@na..post yenyew inanuka mdomo na hatusomi sasa
Asante kwa mawazo yako ndugu Vallentino. Nashukuru umepata elimu juu ya hili, karibu sana.
Comment yako ni ishara tosha ujumbe umefika kwa sauti, ubarikiwe karibu pia kusoma na makala zangu zingine.

 
Ndo nyuzi pendwa
nafanya ushaur katika mahusiano, nafanya na ujumbe kwa mpenzi mbali na hii elimu juu ya mahusiano, mapenz yanachangamoto zake na raha zake na hayana kuchagua hadhi kuwa ni msela, msomi, tajiri, mwanaume ama mwanamke. Ni muhimu kuwa tunaendelea kujifunza mengi zaid kujenga mahusiano bora, familia bora na jamii isiyo na misongo ya mawazo.
#barikiwa ndugu Kalunya
 
Mwandisha emu fanya editing ya andiko lako weka space aya baada aya linachosha kusoma umebananisha mnoooo tunaumia macho...
Asante ndugu Useseme kwa maoni yako, nimeyapata kwa sauti kubwa sana. Barikiwa n imarika zaid katika mahusiano na maisha.
 
Back
Top Bottom