utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
watu wameenda kushangaa helkopta
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
Mama hizo ni tabia za watu wa TISS na NEC yao. Watanzania tukiamua, wao wanapindisha kura na kuzipeleka wanakojua wao.
mtahangaika sana ila chadema imekufa
mtahangaika sana ila chadema imekufa
CHADEMA mbwembwe nyingi! Tukiitisha Uchaguzi mkuu wanaangukia Pua, Halafu Dr.Slaa anapita kwenye vyombo vya habari akilia lia kuwa ameibiwa kura!
hujui saisa wewe. muulize odinga yaliyompata. waulize akina Prof Lipumba, mrema na slaa mwaka 2010. kwa taarifa yako hao wamekuja kushangaa chopa. labda huwajui pia watanzania.
CHADEMA mbwembwe nyingi! Tukiitisha Uchaguzi mkuu wanaangukia Pua, Halafu Dr.Slaa anapita kwenye vyombo vya habari akilia lia kuwa ameibiwa kura!
Ujio wa viongozi wa chadema kuja mkoani Tabora kumesababisha wananchi wengi kuacha shughuli zao kwenda kuwasikiliza viongozi wa chadema wakiongozwa na Makamu Mwenyeki Zanzibar Nd, Said mohamed na John Mnyika, uwanja mzima wa uyui umejaa watu na baada ya Mkutano yamefanyika maandamano makubwa ya kuwasindikiza viongozi hao hoteli waliyofikia.