RBC jiliwaze tu. siipendi ccm, ila mimi nipo hapa JF utajaniambia hata kama sio wazi basi hata kimoyomoyo kuwa usicheze na hao wezi wa ccm. hata wewe mwenyewe unaweza ibiwa. hiyo 9, lakini 10 ni hao wananchi wengi wao hawana vichwa bali wana vitunguu tu juu ya shingo zao. usijipe matumaini sana utajajinyonga bure.Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Hivi ni kweli majina huumba ? Naanza kuwaheshimu wahenga .
kwa heri mi ngoja nikapate tusker ya baridiiiiiiii!