M4C pamoja daima Tabora yazizima

M4C pamoja daima Tabora yazizima

zitto ataisoma namba, akaungane na Dr .kaborou msaliti mwenzie, pipoooooooooooooooooooz!
 
Tukiangalia uhalisia wa mambo. CHADEMA 2015 haiwezi kuchukua nchi na swala la zito litawaangusha sana.
 
attachment.php
Walisema eti zzk ndio CDM wako wapi?Yeye naye ni kama sisimizi tu chamani
 
Wana wa Tabora hongereni kwa sana kwani huu mziki mliouonyesha kwa ma-ccm lazima waingie mitini.,Watu weweeeeeeeee!!!'pamoko 4ever katika kumtoa mkoloni mweusi'.
 
m4c pamoja daima,Eeeh Mungu Baba wajalie waja wako 2015 wakajikomboe waipate nchi yao ya ahadi,Tanzania mpya iliyojaa maziwa na asali,wote semeni AMEN!
 
Tukiangalia uhalisia wa mambo. CHADEMA 2015 haiwezi kuchukua nchi na swala la zito litawaangusha sana.

Kweli kabisa hata hii mikutano inaonyesha dalili hizo kwa kupata mahudhurio hafifu! kwi kwi kwi... isha kula kwake msaliti huyooooooo...
 
Kama hujui tabia za watanzania;
kamuulize augustino lyatonga mrema.
 
Hapa Songea Mjini kulikuwa na mvua kubwa sana wakati Dr Slaa akihutubia ktk viwanja vya Shule ya Msingi Matarawe, lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyeondoka!! Hakika Waana wa Songea wana mwamko mkubwa wa kisiasa!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA.
 
mnyika anajaza watu hivi ambapo jk ajawai na hataka aweze duh!
 
Kama hujui tabia za watanzania;
kamuulize augustino lyatonga mrema.

Mama hizo ni tabia za watu wa TISS na NEC yao. Watanzania tukiamua, wao wanapindisha kura na kuzipeleka wanakojua wao.
 
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:

CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%
hujui saisa wewe. muulize odinga yaliyompata. waulize akina Prof Lipumba, mrema na slaa mwaka 2010. kwa taarifa yako hao wamekuja kushangaa chopa. labda huwajui pia watanzania.
 
Back
Top Bottom