M4C pamoja daima Tabora yazizima

M4C pamoja daima Tabora yazizima

attachment.php

ayaayayaaaaaaa
nasikia Raha Mungu awatangulie cdm
 
Kama hujui tabia za watanzania;
kamuulize augustino lyatonga mrema.

aah wapi
this is another era
km ni hivyo kwnn ccm wanahangaika na cdm?wawaache waone balaa lake, hapa tu wanaelewa fika kuwa hali ni tete
 
hujui saisa wewe. muulize odinga yaliyompata. waulize akina Prof Lipumba, mrema na slaa mwaka 2010. kwa taarifa yako hao wamekuja kushangaa chopa. labda huwajui pia watanzania.

ni kweli pia mengi yalichangia
ss subiri daftari la wapiga kura kwanza liboreshwe, na hili wimbi la vijana wahitim kuanzia fm 4 Up 2 university ambao hawana ajira El anawaita bomu linalosubiri kulipuka, uone historia itakavyoandikwa
 
Kwahivi nilazima CHADEMA ichukue nchi,ccm masikini hawana watu,bila watu huwezi fanya jambo hata harusin msiban any where,hahahahaaaa mwanachama wa mahakama amenuuuuna!!
 
Sana,nilikuwepo viwanja vya mkutano it was so fun.Na maandamano ya AMANI yalifanyika kwa umbali mrefu sn katikati ya mji. NILIIPENDA KWAKWELI.

nilikuwepo pia mkuu na nilishuhudia kila kitu asee
 
Makamanda Mungu awatangulie...pigeni kazi ili watu wajue nyie ni majembe!! Tupo nyuma yenu...Big Up sana CDM
 
Kwahivi nilazima CHADEMA ichukue nchi,ccm masikini hawana watu,bila watu huwezi fanya jambo hata harusin msiban any where,hahahahaaaa mwanachama wa mahakama amenuuuuna!!
Sisiemu walishinda kwa kura miaka ya nyuma sana, inasemekana tangu wakati wa Lyatonga hawajawahi kushinda kwa kura bali wanatumia 'mbinu za medani'.
Habari njema ni kuwa kuanzia zile taasisi wanazotegemea kuwasaidia huenda ikawa vigumu maana mafahali yao yamegawanyika, kuna uwezekano litakalopitishwa mengine huenda yakageukana na yote yana mitandao kuanzia tisi hadi mkutano mkuu. Ngoja tusubiri.

Habari za kuaminika ni kuwa ametuma team ya watu wazito akiwemo mama yake na baadhi ya wasomi wenye hadhi ya uprofessa, kwa Kamanda Mbowe ili ku-reconcile.

Wakimrudisha kundini nahama chama, nyang'au mkubwa yule
 
hujui saisa wewe. muulize odinga yaliyompata. waulize akina Prof Lipumba, mrema na slaa mwaka 2010. kwa taarifa yako hao wamekuja kushangaa chopa. labda huwajui pia watanzania.

Ukiangalia Picha utaona Watu wanaiangalia Chopa au Mnyika!?
 
Back
Top Bottom