M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Pelekeni na nyie chopa ndo tujue kama watu hufuata chopa au la.
 
Na hii je?

4.DIAMOND+AKIWA+AMEBEBWA+NA+WASANII+WAKE.jpg

Au hii?

5.+DIAMOND+AKITUMBUIZA+UWANJANI.jpg

Diamond amwaga sera au amwaga radhi?

Mkuu nimecheka sana , nakumbuka kitu hii iliwahi kuletwa na Kibanga ampiga mkoloni , dah! Nilikuwa nakunywa maji lakini imebidi niyatupilie mbali , nina tusker ya 3 tayari kamanda !
 
unawatukana watanzania hawana akili wamefuata chopa na sio sera za ukombozi? hata shetani alimwambia Hawa Mungu kawadanganya wakila tunda hawatakufa bali watajua mema na mabaya, endeleni kujifariji kwa kualika vikundi vya zecomedy na bongo fleva kwenye mikutano yenu ili kuwajaza watu wakati katika chadema watu huja wenyewe. msisahau 2015 hakuna kuiba kura tena, JK ayuko madarakani kwa kura kiduchu 5M kati ya watu 40m
Hivi kufuata chopa ni matusi?
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

ndg ritz tulia wacha wivu kwani hata ninyi hampendi kuwa na watu wengi kwenye mikutano yenu? nani asiye jua kwa sasa hamna watu? izi ni trela tu mziki ni 2015 mtajua kilicho mtoa kanga manyoya yake,
 
USHAURI WA BURE - ili kuepuka gharama za uchaguzi zisizo za lazima napendekeza cdm wakabidhiwe nchi !
 
ndg ritz tulia wacha wivu kwani hata ninyi hampendi kuwa na watu wengi kwenye mikutano yenu? nani asiye jua kwa sasa hamna watu? izi ni trela tu mziki ni 2015 mtajua kilicho mtoa kanga manyoya yake,

.....anapresha huyo
 
aisee nilikuwepo furahisha dr ameutendea haki umati wa watu waliokuja uwanjani amemwaga nondo za kufa mtu, huyu mzee lazima atakuwa genius na by any means kura yangu amekwishaipata bila tatizo bado za wale nitakao wapa elimu aisee ccm kwishney wakuu.
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.
Wait! wait! the game is still on start. don't panic lady. usiwashwe na mihemko ya 'kikekike' washauri na chama yako watumie chopa. maana unajenga hoja juu ya chopa. ungekua mwanaume usingekua na hoja zenye viashiria vya wivu wa kike. Get matured young lady. 23912_591529390871751_1838251259_n.jpg
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Haaaaah haaaah roho inauma sana najua,lakini ndo hvyo ccm hampo tena
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Na ndo maana CHADEMA hawajafanya mkutano na chopa!
Wamefanya mkutano na watu ambao watapiga kura 2014/2015
 
Maccm yatazimia kuona picha hizi, yenyewe moshi unafuka huko hakukaliki, kwa hiyo yakiona picha hizi yanaumia, mtu mzima kama Lowasa kukosa busara na hekima, na kuendelea na tabia yake ya kifisadi kutafuta madaraka, kinaonesha ni jinsi gani ccm imeyumba, tulijua ni vikina Zitto tu vyenye tabia hii sababu ni vitoto, kumbe na wenye mamvi kichwa chote nao hakuna kitu, kweli ccm inaharibu watu.
 
WATU WAMECHOKA SANA 50YR,IMEPITA,ZAIDI CCM IMEJIBIDISHA KTK KUJENGA MATABAKA YA KIMAISHA,Mf;-shule hizi za wanyonge,hizi za wenye nacho,//hawa wanastahili wale hawastahili,ubinafsi natamani kulia!
 
Mimi leo nimekubali wenyewe wanasema speechless! Hivi kumbe DR Slaa nimchumi hivi? Leo kashusha nondo za uchumi wa mtu mdogo ambaye wakoloni weusi wametubatiza jina la wananchi wa kawaida kama vile wao ni Alliens!

Nimejiona tajiri japo sina hata mia mfukoni na natembea kwa muguu kuelekea nyumbani ila roho yangu ni tajiri! Mungu awabariki wapambanaji wote.

ishu ya mabomba ya gesi kuelekea ulaya hakuisema leo?
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

kumbe hata fiesta wanakuja na chopa duh ndio maana mnamtumia diamond kwenye mikutano yenu balaa linakuja watoto wanajaa kucheza ngololo akishuka hao wanaanza mbele dah mna strategy nzuri basi kila akihutubia mmoja muwe mnamwachia nafasi na msanii mmoja ili watu waendelee kubaki
 
Back
Top Bottom