M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

klorokwini, japo chungu, ni dawa.

kunywa taratibu hiyo dawa
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Vijijini mlisema watu ni washamba wanafuata kuona CHOPA na mijini umekuja na kituko hichohicho kweli wewe MBURURA hayo maneno yako ni ya mtu anayekata roho tulia uendelee kunyolewa.
 
Hivi kiwanja chadema kile hapo Mwanza ndiyo unaweza kujisifia? Eti uwanja mkubwa mno Dar kwenye hakuna uwanja sembuse Mwanza.

kwa taarifa yako,chopa haikupata eneo la kutua kutokana na nyomi ya watu!!!! dr slaa anatisha!!!!
 
maccm mna kazi Mwanza Mbeya wamekataa hizi sehemu zote hawanaga njaa bado Dar ya wenye njaa kali na omba omba wa kila dizaini kuanzia wasanii wa mziki, wasanii wa bongo movie , kanjanja wa viwanja feki na matapeli hawa wakina mupe mruke wa kongo
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Unataka wafuate sahani za ubwabwa na finyango mojamoja, mnawahonga watu waje kwenye mikutano yenu? shame on you
 
....

....

.....Hapo chini Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza waliojitokeza leo jioni -
M4C OPD !!!

Shukrani nyingi zimfikie Kamanda PRISCUS JR kwa Picha alizopiga



attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php
1995 Mrema ktk mikutano yake aljaza. Wa2 mpaka Gari yake inasukumwa na mashabik chaajabu hara robo ya kura zote hakufikisha Cdm watu wanashangaa chopa sio wanapenda chagaparty yenu
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Bado za tamasha la mziki lililofanyika Mbeya...
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.[/QUO
Nikikujibu kulingana na fikra zako,wewe mwenyewe ungetakiwa kusikitishwa na Taifa lililojaa washamba ambao hata chopa kwao ni kitu cha kustaajabisha katika karne hii. Hivyo ungetakiwa hata kuwashukuru hao wanaojitolea kufanya maonyesho ya chopa ili kupunguza ushamba ktk taifa lako.
Lakini kama ningependa kukujibu kama mtu ambaye nimekuwa nikikuasa kuwa kauli zako zinakudhalilisha sana,na unaonekana kuwa mgumu kuelewa,si ajabu ukawa ni mwepesi kusahau vilevile.
Kufuatana na elimu na position yako,unatakiwa kuelewa kuwa kuna kitu kinaitwa changes ktk maisha.Mambo yaliyopo leo ktk nchi yetu ukilinganisha na miaka 20 iliyopita utaona kuna mabadiliko mengi na makubwa yaliyo na yanayoendelea kutokea kwa kasi ya ajabu.
Kinachonisikitisha kuhusu ufahamu wako ni kwamba labda usingependa mabadiliko kuwepo na hakuna jinsi unaweza kuzuia changes kufuatana na factors nyingi ambazo ningetegemea uwe unazifahamu na kuwaelimisha watz wengi. Lakini kwa bahati mbaya sana labda ule usemi usemao penye miti hapana wajenzi, naona unatimia kwako. Ulikuwa na opportunities za kuelimika vizuri lakini huenda hukupata mshauri mzuri,matokeo yake kila unachopost kinaku undermine sana. Nahofu usije ukawa uli copy na ku paste kazi ya mtu ukai submit ili ufaulu!
Hutakiwi kushangazwa na chopa, it's just a means of transport.(Au ni dhambi Tz kuwa na chopa?), Tunatazamia in future tutakuwa na hata train za umeme ktk utawala ambao utasimamia discipline na responsibility ili kufikia malengo. Na hizo ni huduma muhimu kwa jamii. Tumeshindwa kufikia malengo mengi na mazuri tuliyojiwekea kama taifa kutokana na ombwe la uongozi ktk utawala uliopo. Siwezi kuelewa hasa tatizo ni lipi kati ya haya mawili, either kupwaya ktk Leadership au watendaji kutokujua wajibu wao.(Hii husababishwa na kupeana post kishikaji)
Leo hii ukikutana na Lukosi Tz,hutasita kumpa post ambayo haimudu ili mradi umfurahishe bila kujali outcome itaathiri vipi Taifa na wewe uliyemweka hapo.Hii ndiyo hali halisi inayotukabili Tz, upende usipende.
Upo msemo wa wataalamu wa Computer usemao gabbage in gabbage out. Huwezi kumpa mpuuzi wizara muhimu na kutegemea outcome isiyo ya kipuuzi.
Ritz,kwa kifupi ni kuwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu zinaendelea taratibu,hivyo kuwa na chopa ni mojawapo ya development. Sasa wewe kama hufurahishwi na changes hizo,ninaitilia shaka dhamira yako kwa watz.
Lini utaingiwa na moyo wa utu kwa watz waliopoteza matumaini ktk mianga nenda miaka rudi.
Sidhani kama watu wote ni washamba kiasi hicho unachofikiri wewe,isipokuwa ni kuwa watu wanatafuta kusikia tumaini lao linaweza patikana wapi! Watu wamekata tamaa ya maisha.
Chukulia kikombe cha Babu kilivyokusanya watu waliokosa matumaini toka pande zote za dunia.
Hakika mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Mshukuru sana Mungu kuwa kwenye family yenye matumaini,wanaoteseka huko nje vilevile wangetamani nafasi uliyonayo wewe.Lakini badala ya kuwapa ujumbe wenye matumaini,wewe unawabeza bila kukumbuka kuwa cheo ni dhamana. Leo ni baba yako madarakani, kesho atakuwepo mwingine, ni vema kuishi na watu vema ukiwa na mafanikio,hata utakapokwama ni hao watakaokumbuka uliishije vipi ukiwa na mafanikio.Hii ni dunia,kuna kupata na kukosa na kuna leo na kesho.
Jaribu sana kujirekebisha ktk post zako. Ningependa ziijenge jamii na kuinufaisha badala ya kuwatia uchungu wasionacho.
Kumbuka yule unayemwona leo ni mjinga, anapofikia kukata tamaa ya maisha, always they have got nothing to lose,so kukata kwake tamaa kunaweza kuathiri jamii nzima ukiwemo wewe pia. Kwa mtu aliye elimika,ili awe salama,hujitahidi kuielimisha jamii pia kuliko wewe unavyojitahidi kufanya.
Ishi vema na watu leo kwa ajili kesho pia.
 
mwanajamvi usisumbuke kumuelimisha mtu ambae ataki changes. kesha zoea tren ya kutoka dar mpaka mwanza kwa siku tatu badala ya masaa matatu umefika mza hivyo basi hata ukimuuliza maana ya analog na digital hawezi kung'amua
kitu. muache aendelee kulala atakuumiza kichwa bule wakati maduka ya madawa yameisha fungwa.
 
1995 Mrema ktk mikutano yake aljaza. Wa2 mpaka Gari yake inasukumwa na mashabik chaajabu hara robo ya kura zote hakufikisha Cdm watu wanashangaa chopa sio wanapenda chagaparty yenu

...

....peleka salaam hizi msoga !!
 
Back
Top Bottom