M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

ishu ya mabomba ya gesi kuelekea ulaya hakuisema leo?

kumuelewa Dr inabidi uwe umesoma kidogo sa wewe hata elimu huna ndio maana unachuku vichw vya habari unaconclude ujinga uko kwako na CCM hupenda watu wasiojielewa kama wewe.
 
Endeleeni kujipa matumaini kama wagonjwa wa UKIMWI ikulu huwezi kwenda kwa chopa labda ikulu ya Mangi sina wa kibosho.
 
hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

kwahiyo tunaweza kuendelea kuongozwa na rais mzigo na mawaziri mizigo!?
 
Wait! wait! the game is still on start. don't panic lady. usiwashwe na mihemko ya 'kikekike' washauri na chama yako watumie chopa. maana unajenga hoja juu ya chopa. ungekua mwanaume usingekua na hoja zenye viashiria vya wivu wa kike. Get matured young lady.View attachment 136484

ajajaja, mkuu samahani sana, hivi kumbe Ritz is she a lady??? Lord forgive mi.
 
Last edited by a moderator:
kumuelewa Dr inabidi uwe umesoma kidogo sa wewe hata elimu huna ndio maana unachuku vichw vya habari unaconclude ujinga uko kwako na CCM hupenda watu wasiojielewa kama wewe.

tumsaidie ni kwamba hakuna mipango yakuwawezesha wazawa kumiliki hata viwanda vya kuchakata gesi kila kitu wanafanya wa njee WAZUNGU ,Hamaanishi mabomba yanatembea kwenda Ulaya!

watu wanamna hii ni shida !!!!

SUK  N.jpg
 
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

Acha kujifariji weweeeeeeeeee!.

Mwanza kuna uwanja wa ndege tena mkubwa.

Mwanza ni jiji si si kijiji kwamba watu ni washamba kiasi hicho.

Hao ni watu wazima si watoto kama wale mnakusanyaga ccm, ili useme wanafuata chopa.

Hapo anayehutubia na kusilikilizwa ni MTU, Kiongozi kipenzi wa CDM na si chopa.

Ukweli hujenga heshima na ubishi usiokuwa na haya ni fedheha.

Poleni.
 
Mwanza jana jioni
 

Attachments

  • Photo0090.jpg
    Photo0090.jpg
    302.5 KB · Views: 226
  • Photo0091.jpg
    Photo0091.jpg
    265.3 KB · Views: 199
  • Photo0089.jpg
    Photo0089.jpg
    263.2 KB · Views: 196
  • Photo0087.jpg
    Photo0087.jpg
    272.2 KB · Views: 181
Sasa tunataka na ukifika wakati wa kupiga kura mjitokeze hivi na zaidi ili CCM TUITOKOMEZE KABISA.
 
Back
Top Bottom