M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

unawatukana watanzania hawana akili wamefuata chopa na sio sera za ukombozi? hata shetani alimwambia Hawa Mungu kawadanganya wakila tunda hawatakufa bali watajua mema na mabaya, endeleni kujifariji kwa kualika vikundi vya zecomedy na bongo fleva kwenye mikutano yenu ili kuwajaza watu wakati katika chadema watu huja wenyewe. msisahau 2015 hakuna kuiba kura tena, JK ayuko madarakani kwa kura kiduchu 5M kati ya watu 40m


.... Mkuu huyo ni wa kuhurumiwa msamehe !!!
 
Tubadilike kila siku ni mwanza arusha mbeya mjin na iringa mjin, tutawachosha watu, shambulien morogoro katavi njombe lind mtwara dodoma shnyanga rukwa katav
 
Umati wote huu ukaifuata CHEDEMA, kwani CCM hawakuwa na mkutano kuadhimisha miaka 37 ngazi ya mkoa hko Mwanza? au walipisha kwanza makamanda wa jiji wafanye vitu vyao kwanza.
 
ni kweli watu wako tayari kwa mabadiliko!! CCM anzeni kutayarisha nyaraka kukabidhi ikulu wa amani.

attachment.php
 
Back
Top Bottom