Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.

pamoja daima!!!! nipo hapa shutterz napata moja moto moja baridi! karibuni makamanda!
Na hii je?
![]()
Au hii?
![]()
Diamond amwaga sera au amwaga radhi?
At least unakiri kuwa watu ni wengi sana,ila una wasiwasi kuwa pengine wamefata chopa,ukiwafananisha na wale waliozoea kumfuata komba.BTW hivi komba atatumika tena 2015?Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.
Mimi leo nimekubali wenyewe wanasema speechless! Hivi kumbe DR Slaa nimchumi hivi? Leo kashusha nondo za uchumi wa mtu mdogo ambaye wakoloni weusi wametubatiza jina la wananchi wa kawaida kama vile wao ni Alliens!
Nimejiona tajiri japo sina hata mia mfukoni na natembea kwa muguu kuelekea nyumbani ila roho yangu ni tajiri! Mungu awabariki wapambanaji wote.
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.
Hizi drama za watu kufuata chopa tumieshazoe hata fiesta huwa tunaona watu wengi kuzidi hawa hauwezi kuchukuwa nchi kwa chopa.
Kiu yote imekata, muhudumuuuuu lete fant pasheni baridi. CHADEMA mtaua mtu