M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

Wa Tz hata hawana imani na jeshi lao, kwani limegeuka jeshi la ccm badala ya kuwa jeshi la Wananchi wa Tz...
Kitendo cha kuwapiga raia kimenifanya nilichukie serios Jwtz...acha watekwe tu tutatafuta wengine wa kwenda kuwatoa kafara huko..

...wapigwe tu,wapigwe...
 
Hii issue simple sana. .. M23 claim that they captured a Tanzanian fighter.Huyu jamaa ni Mnyarwanda. Huyu Jamaa siyo mwanajeshi wa JWTZ. Amekamatwa akiwa ni mmoja wa upande wa waasi wa Rwanda - waHutu FDLR ambao wanapigana na Rwanda.Kuna wanywarwanda wengi tu ambao wanatumia Passport za Tanzania. Hata zile Passport zilizoibiwa Uhamiaji zinaweza kuthibitisha hili.Jina lake lina walakini... Christopher George Yohana.
 
Hizo propaganda za Kijeshi tu...na chokochoko za kivita.
 
Wangekuwa wamemkamata lazima tungemuona CNN tu kwa jinsi Kagame alivyo na usongo.
 
Hii ni mbinu za kijeshi tu inawezekana ni pass ya kugushi tu ili kuwatisha Tz kwani Askari huwa hawatembei na pass pindi wanapokuwa doria
 
Teh teh teh, Mkuu
Mingoi, hivi kwa nini Pro-Chadema wengi
wanamunga mkono Kagame pamoja na jeshi la waasi wa M23?

Ritz, M23 ni role model. Tutawafanyieni hivi Magamba siku moja
 
Last edited by a moderator:
Unaaminije kwamba ni namba ya bunduki ya kamnda wetu? Kama wana passport si wataje na jina kabisa ama hata cheo?
Namba ya jeshi na ya bunduki vyote vinaweza kufojiwa tu wala wasitupe shida.
 
Mkuu acha unafiki bana
We umewaona waliopelekwa huko wanavitambi?
Mbona watu mmejengeka vibaya hivi? kupinga na kuponda kila kitu
Au unadhani JWTZ hawafatilii kujua ukweli?
Mkuu huyo wala usimjali hao ni vijana wa bavija ambao bado wanategemea posho ya chadema ndiyo wale hata kuchambua mambo hawajui.
 
Wamesema leo wataweka video yake, pia wamesema wamemuweka sehemu nzuri wanampa chai na mkate, na kuwa wao hawana roho mbaya kama wapinzani wao.
Wanyarwanda wanafurahi sana, wanasema shame on you Kikwete.
 
Capture.PNG
 
Wanakitete hao maana wanaujua mziki wa Tz c mchezo, acha waweweseke tu.
 

Askari wakiwa mstari wa mbele hawabebi passport wandugu...kuna metal identification huvaa..au kuifisha ndani ya nguo sehemu salama kumtambilisha...hiyo ni propaganda...labda atakuwa ni mtu
wamemuhisi kuwa agent wa Tanzania na watamvalisha sare aonekane Askari ...na hata am agent huwa na false passport za nchi nyingine..hawabebi passport
Zao
Mkuu inawezekana ni mwanajeshi lkn alienda kwa ishu zake,ila hapo kuwa alikuwa na bunduki ndio ninapohisi tofauti au ni propaganda kutisha wengine.
 
amani ya Tanzania shakani. Kikwete hata mbinu ya kusimamia uchumi hana, asa anaweza kweli kuvisimamia vikosi vya ulinzi wa taifa letu kupigana na adui kwa weledi wa kijeshi au anategemea misaada ya wahisani kama kawaida yake? isije kuwa tumekurupuka kama Israel walivokurupuka kwa Hizbollah
 
Wamesema leo wataweka video yake, pia wamesema wamemuweka sehemu nzuri wanampa chai na mkate, na kuwa wao hawana roho mbaya kama wapinzani wao.
Wanyarwanda wanafurahi sana, wanasema shame on you Kikwete.

Kwa hiyo hiyo inathibitisha pasipo na shaka kwamba majeshi ya Rwanda yapo Congo bila kujitangaza hivyo? Sasa naona wanataka wapigwe. Kwani Tanzania ikiamua kuwakusanya wapizani wa Kagame na kuwapa mbinu za kummaliza si ni kazi rahisi tu. Kumbuka akina Pierre Nkurunzinza, Nyangoma, Museveni, Kagame, Kabila walikuwa wapi. Naona brother comrade General Kagame anajitafutia exit. Hakika nakuambieni muda si mrefu Kagame atakuja hapa nchi kuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom