M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

Status
Not open for further replies.

Chilli

JF-Expert Member
Jul 17, 2011
1,655
743
Wakuu,
Baada ya kutajwa bila kuwekwa wazi/ kufahamika, mshiriki namba nne wa Waraka uliosababisha kuvuliwa uongozi kwa aliyekua naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe, aliyekua mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha Samson Mwigamba na aliyekua mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Dr. Kitila Mkumbo, hatimaye MM2 mwenyewe ameamua kujitokeza hadharani

Kwa taarifa zisizo rasmi ni kwamba MM2 ambaye kama ilivyosemwa ni mwenyeji sana wa makao makuu, atajitokeza kuzungumzia ukweli kumuhusu yeye kama yeye, msimamo wake na wa kikundi chake dhidi ya wale wanaojulikana kama Wahafidhina ndani ya chama na vilevile ataweka wazi mikakati yao pamoja na mbio za mikoani katika kile kinachojulikana kama demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.

Hivyo basi, tutarajie kumuona na kumsikia mtu anayewekwa kwenye list ya Uhaini ndani ya CHADEMA.
Stay tuned!
 
Mabere Nyaucho Marando، Muasisi wa Harakati za Demokrasia hapa Nchini, Mwenyekiti wa Kwanza wa NCCR mageuzi na Aliyewah kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho! Godbless Lema Ubarikiwe kwa kuharakisha utokaji wa Waraka huu maana Hata Mkumbo asingekuwa na Ubavu wa kuutangaza kias kila mtu anatamani Ausome ajue kunani!
 
Umekaa kwenye stuli ndefu kamanda au ni viroba kama huna uhakika na habari umeleta za nini?
 
Huyo naye anajitafutie umaarufu!si waanzishe chama chao kiwe na ukomo wa kila wiki wawe wanafanya uchaguzi wa viongozi wapya
 
Mkuu weka taarifa kamili Kama unazo huna haja ya kufumba fumba mambo yenyewe tayari yako hadharani
 
Mbowe kajigeuza Procurement Officer na Chief Supplier wa Vifaa vya Chadema. Yeye ndo Mnunuzi na Muuzaji wa kila kinachohitajika. Wakat wa Uchaguz 2010 ilidaiwa anasaidia Chama bt baada ya Matokeo kaleta Invoice za Gharama za Uchaguz na kuzoa 500Mil za Ruzuku sasa Chama kinaendeshwa kwa sadaka za kwenye Mikutano ya Hadhara. Source; Waraka wa DKt wa Ukweli Mh.Kamanda Kitila Mkumbo!
 
Mkuu weka taarifa kamili Kama unazo huna haja ya kufumba fumba mambo yenyewe tayari yako hadharani

Kesho itakua vyema zaidi mkuu, kwa sasa hivi nitakua navunja sheria za JF maana bado ni tetesi.
 
Nami hizi tetesi nimezisikia toka saa kumi alasiri ya leo, upo uhakika ataongea kesho via Press Conference.
 
Mbowe kajigeuza Procurement Officer na Chief Supplier wa Vifaa vya Chadema. Yeye ndo Mnunuzi na Muuzaji wa kila kinachohitajika. Wakat wa Uchaguz 2010 ilidaiwa anasaidia Chama bt baada ya Matokeo kaleta Invoice za Gharama za Uchaguz na kuzoa 500Mil za Ruzuku sasa Chama kinaendeshwa kwa sadaka za kwenye Mikutano ya Hadhara. Source; Waraka wa DKt wa Ukweli Mh.Kamanda Kitila Mkumbo!
mulishayasema haya tuliyasikia zamani za kale mengine lete musaliti zitto laki mbili zipate kwa mara ya mwisho ndani ya siku kumi na nne huna kitu nenda kwenu kalime
 
Kwa wanaotumiwa kama mm, m1-m3 nawauliza uaminifu wao unakuaje kwa wanao watumia. Hawatiliwi mashaka kuwa wanaweza tumiwa na watu wengine pia. Au niuilize hivi inawezekena mm akaminiwa na ccm kwa 100%? Au ndio kuaminiana kutakuwa kwa mashaka always.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom