M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

Status
Not open for further replies.
Salaam tena wakuu.
Baada ya uzi wangu wa jana usiku kufutwa kwa sababu ambazo sikujulishwa, asubuhi hii nimeamka na kuamua kufuatilia tetesi za jana.

Ni kweli kwamba mtu alituhumiwa na kutajwa kama MM2 na kamati kuu ya CHADEMA, ameamua kujitokeza na kuzungumza na wanahabari.
Mkutano huo na wanahabari ambao awali ulikua ufanyike Ubungo Plaza saa nne asubuhi, hivi sasa umehamishwa na utafanyika Travetine Hotel - Magomeni kuanzia saa tano na nusu asubuhi.

Kulingana na chanzo changu cha habari, MM2 asingependa atajwe mapema mapema kwenye mitandao kwa sababu za kiusalama ila ni kweli kwamba atazungumza na Wanahabari leo.

Mada atakazozigusa ni pamoja na ukweli kumhusu yeye, msimamo wake na wa kikundi chake dhidi ya wanaoitwa Wahafidhina na mikakati yake na kikundi chake pamoja na harakati watakazofanya mikoani katika kile wanachokiita demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA.
Nitaendelea kuwaupdate juu ya kinachoendelea.

NB: Mod sio mbaya nikapata taarifa ya sababu ya kufuta uzi wa jana. Thanks in advance.
hawa magamba ndani ya cdm dawa yao ni moja tu,kuwafukuzia mbali waende wakaanzishe chama chao cha wasaliti... bora kubaki na watu wachache,humbe bila kujali uwezo wao,loyal kuliko kukaa na watu ma opportunistics walio tayari kuuza hata kura za watz kwa ajili ya matumbo yao ... hakuna kurudi nyuma,historia itaitetea chadema kuwa angalau walifanya maamuzi mazito ya kukabiliana na wasaliti na itakuwa kwenye vitabu vya kumbukumbu ... Go chadema!!
 
kama ni kweli tunakuomba uwepo hapo kwenye hiyo press conference yake utupe updates sio unaleta taarifa tu then baadae hamna updates.
 
Dawa ni kuwarudisha kule mlipokuwa kabla hamjafahamika maana sikio haliwezi kuzidi kichwa!!
Tuone mlivyo na akili nyingi na elimu kubwa kurudi mlipo sasa.
 
kama ni kweli tunakuomba uwepo hapo kwenye hiyo press conference yake utupe updates sio unaleta taarifa tu then baadae hamna updates.

well said, najiandaa nifike hapo.
 
kama ni kweli tunakuomba uwepo hapo kwenye hiyo press conference yake utupe updates sio unaleta taarifa tu then baadae hamna updates.
Hivi hawa jamaa ndio wanajiona no CHADEMA kuliko sisi wanachama wengine. Waishie zao huko. Sisi tuko busy kujenga misingi na matawi, tunakaribia chaguzi za kata. Wanachama kibao wanaingia, mpaka nimeshangaa. Tena akina mama.
 
hahahaaaa unamchokoza Mwenyekiti Mteule Baba V ? wale waliompindua walitimuliwa bila kupewa notisi ya siku kumi na nne japo pia na wao walitumia media kuunadi unyama wao.......Long Live Mzee mwenzangu Baba V

Huyu nae ni dikteta wa kimtindo, ndio maana wameshindwana na Ben maana wana hulka zinzaofanana. Ila nitaandaa mapinduzi makubwa mno huko Chit-Chat, namuandaa kijana wangu Chimbuvu aje ashike hatamu.
 
Last edited by a moderator:
WASIFU WA LUKOSI
1.Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2 2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk. 3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa. 4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara. 5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua. 6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge. 7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua. 8. Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua
 
Naona sakata la M2 limeanza kuwa filamu za siries ambazo matukio yanaendelea huku mhusika mkuu akiwa hajulikani na wakati huo sisi watazamaji tukiwa na hamu ya kumwona huyo mhusika mkuu jinsi alivyo. Ngoja yusubiri epsod inayofuata...
 
Thank U Mods, ila sasa naomba hii ya pili ije kama Update, just after the first one
CC Moderator Paw Buchanan
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom