M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

M2 kuongea na wanahabari kesho Nov 27, 2013

Status
Not open for further replies.
Usikute ni mimi bwashee Elli unayeniombea nifanywe hii shughuli? Wakishanifanya hivyo dadako Madame B ushamtafutia mume mwingine?

God forbid
hahahaaaa kama ni hivyo natoa shilingi....Mpwa hio Press ilikuaje tena bhana? Ntakunyima dadangu ujue, si unamuona alivyonona? Mama Mchungaji yule ohooo
 
Musaliti ndio nini? Wanafiki wakubwa mnajifanya wapinga ufisadi na watetez wa Demokrasia halafu mnashindwa hata ku practice walau kwa Majaribio ngaz ya Chama, Mungu ni Mwema sana kuwanyima Mamlaka 2010, Tambueni Mungu aliewanyima Power 2010 ndio huyohuyo wa 2015 ataewanyima tena!

Je, PEPO lililowawezesha kukwapua 2010, litafanikisha tena 2015?
 
Hao ccm hujaribu kucheza mchezo huo wa kuandaa watu wa kurudisha kadi.aliwafundisha Yusufu Makamba wakifikiri Watanzania ni wajinga kiasi hicho.kueleza ubaya wa mwingine haigeuzi ubaya wako kuwa uzuri.
 
hahahaaaa kama ni hivyo natoa shilingi....Mpwa hio Press ilikuaje tena bhana? Ntakunyima dadangu ujue, si unamuona alivyonona? Mama Mchungaji yule ohooo

Acha tu mpwa, tumekaa tumejipanga si ndio akatokea Nyakarungu? Likatushukajee?
 
asante tumemuona ni Nyakarungu katoa tamko ....hahahhaha, ZZK kwisha habari yake hao wengine hawana nguvu
 
Acha tu mpwa, tumekaa tumejipanga si ndio akatokea Nyakarungu? Likatushukajee?

lol mbavu zangu mie.. naona mkiwa tayari na shauku ya kumuona huyu M2, watu wako tayari kuchukua picha kama kumbukumbu, mara anatokea Brigedia Nyakarungu.. watu walikuwa wadogo kaa pirito.. lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom