Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Message yake ndiyo inayoniumiza zaidi

Tuwaseme

Huyo mwanamke amekueleza ukweli,lakini nakushangaa wewe kushangaa kuumia,ulikuwa na mahusiano nae ulitegemea hilo liondoke hivi hivi tu?

Kosa utakalolifanya na litakugarimu maisha yako yote ni kwenda na kumuambia muendelee tu na kumuomba msamaha kama vile wewe ndio umefanya kosa,utakuja kujuta ...

Cha kufanya;Mwambie "nakushukuru kwa kuniambia kweli,nashukuru kwa muda ambao tumeshea pamoja na nakuombea maisha mema huko uendako" halafu mtumie,roho itakuuma lakini hiyo isikutishe,ni kawaida sana wakati unapofanya mambo sahihi hata sindano ya kutibu inauma pia lakini baadae utakuja kufurahia afya itakapotengemaa

Pole na usijali time will heal you!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kinachokuumiza ni nn?
Kama inakuuma kuachana naye kwann ulikuwa unamchunguza?

Haya ndio matatizo ya wanaume kama huna kifua usimfuatilie sana mkeo.

Umemchunguza bata umekuta anakinyesi cha binadam unashindwa kumla huku roho inakuuma.
 
hakuna kitu kizur kama kua mkweli. hapo sasa ni wewe kuamua kumuondoa fikirani na moyoni mwako. wanasema kosa sio kosa bali kulirudia ndo kosa amefanya tena mara ya pili na ukweli kakupa angalia mbele usigeuke tena nyuma. na ninampa big up bibie kwa kuamua kua wazi kwako........
 
Ushajua ukweli apo.cha msingi jipange kusonga mbele siku zinavyoenda utamsahau
 
Ukweli unauma..... Huyo huwez kumbadilisha coz maisha yenu yatatawaliwa na ugomvi milele vumilia tu mkubwa
 
Fuata ushauri woote wa wachangia hapo juu. Kitu kikubwa ambacho unaona ni kizito ni KUMSAHAU, hapa wengi wanashindwa na matokeo yake wanafanya maamuzi ya ajabu.

Subiri nikufundishe kumsahau, jilazimishe kuyakumbuka yale mabaya yake tu, baada ya mda kidogo hadi jina lake utasahua
 
Michael nawe unashangaza sana,bint kaamua kuwa mkweli amekuaga kwa wema usonge na maisha yako.
Hayo maumivu yatapita tu,nothing lasts forever
 
Chagua A or B, kama unampenda na hiyo mesej imekuumiza chagua kutulia nae sasa unachovya huku na kule unategemea nini? Tena ni kosa linalojirudia rudia ina maana amejitahdi kukuvumilia lakini umeonekana hauvumiliki. fanya kazi ya kurudisha imani yake tena kwako na akikupa second chance tulia
 
Amesema yeye ni malaya kwa kuwa wewe ulimwita hivyo;
............ Ila ndivyo walivyo, hata upata mwingine wako hivyo hivyo ni sawa wamezaliwa na mama mmoja tu................
 
Chagua A or B, kama unampenda na hiyo mesej imekuumiza chagua kutulia nae sasa unachovya huku na kule unategemea nini? Tena ni kosa linalojirudia rudia ina maana amejitahdi kukuvumilia lakini umeonekana hauvumiliki. fanya kazi ya kurudisha imani yake tena kwako na akikupa second chance tulia

nadhan haujamuelewa....
 
Amefanya vizur kukwambia ukweli utaumia mwishowe utazoea

Ukiamua kumrudia yatakayokukuta utajuta kuzaliwa mwanaume
 
Duh!
Aisee watu wengine bhana,ashagundua unampenda sana na may be amekuambia hivo maana anajua utamwomba msamaha na hutamwacha.

Ukibaki naye still atakucheat tu maana anajua umedata.Aisee mi huwa uamuzi ni mmoja kwanza huo ushahidi wa Mara ya kwanza tusingefika mbali huko.
 
Back
Top Bottom