Hivi mtoto anapokosea kunywa mafuta ya taa badala ya maji uunabaki ukimhukumu au unatafuta jinsi ya kumsaidia kwanza? Vibao vya barabarani viko kila mahali na bado ajali zinatokea!! hoja yako ni redundantKosa ni mtumaji mana lazima uhakiki no plus jina ndio utume pesa,kuna mtu hajawahi kushika 50 elfu siku ikiingia anatoa fasta na kuhamia bar,heri ukosee upokee mwanamke kurudisha ni rahisi sana kuliko mwanaume
Hoja si VODA kurudisha hela bali kumwambia aliyechukua hela kuzirudisha itakuwa ina nguvu sana kuliko kuwaambia wateja wa negotiateHizi cases ni ngumu Ku trackback. Ndio maana kabla hujadhibitisha kutuma mtandao husika hukuonya uhakiki namba na jina la unaemtumia.
Look, imewahi kutokea kanda ya ziwa jamaa kaenda kununua mpunga kwa wakulima na kuwalipa kwa kutumia mtandao wa simu (mobile money)nusu saa baada ya malipo mlipaji aliwapigia watoa Huduma kuwa amekosea namba na amemtumia mtu ambae si sahihi hivyo akarudishiwa hela yake, mind u ameshaondoka na mzigo wa mkulima.
So, Usidhani ni rahisi kwa service provider kurudisha hela za kila anaekosea namba.
Jambo la msingi ni kuwa makini unapotuma pesa.
kosa limeshatokea tayari hapa ni kuangalia jinsi ya kurekebisha hilo kosa lisijirudie tena. kwa upande wa mtumaji amefanya makosa ila anasaidiwaje? kwa kiasi kilichofikia huyo aliepokea pesa tayari ni mwiziKosa ni mtumaji mana lazima uhakiki no plus jina ndio utume pesa,kuna mtu hajawahi kushika 50 elfu siku ikiingia anatoa fasta na kuhamia bar,heri ukosee upokee mwanamke kurudisha ni rahisi sana kuliko mwanaume
Ipi ni salama kwani kwa muktadha huo??Siyo salama kwa sababu hakuna mechanism ya kuhakikisha usalama wa hela ya mteja. Huyu mtenja ndiye anayeifanya MPESA iwe MPESA. Na kama hutamjali akaogopa kuitumia huduma lazima mpesa itayumba
Hoja si VODA kurudisha hela bali kumwambia aliyechukua hela kuzirudisha itakuwa ina nguvu sana kuliko kuwaambia wateja wa negotiate
Amejibiwa maombi yake,pesa ndo inavyozunguka hivyo,ye angekua makini tu wakat wa kutumaMimi binafsi nilisharudisha hela nyingi zilizoingia siyo tu kwenye simu bali hata kwenye akaunti ya bank. kitendo cha hela kuingia na kukimbia kuito kwa dakika zisizozidi 10 na hujui zimetoka wapi ni wizi.
Wizi hapa ni attitude ya aliyezitoa hela ambazo siyo zake hakuna jina lingine linalomfaa
Point, nakaziaTunawanufaisha sana hawa watu wa mitandao ya simu ila inapokuja mteja kapata tatizo hawana time naye
Nafikiri itabidi wanasheria wawasaidie wateja ili waone kuna madhifu gani kwenye hii relationship ya VODA na Mteja ili tatizo likitokea ndani ya mtandao tuweze kuwafungulia mashtakaMm toka niibiwe hela kwny akaunti yangu ya simu sijawahi tena kuweka hela humu huu mwaka wa 2 sasa.
Nilichogundua security ya fesga zetu kwny mitandao ya simu ni ndogo sana halafu haya makampuni yote hayana msaada linapotokea tatizo la kifedha wanatoa majibu mepesi sana unaweza hata kumuua mtu