Aache ugaidi
Mkuu Kingukitano umenena sana, huyu Lwaks ni hatari sana na ni gaidi namba Moja ndio maana wamerekani wanamfatilia asije akaleta dhahama ujio wa Obama
Aache ugaidi
Huyu dogo si ndiyo alitoa pendekezo kuwa Lwakatare avuliwe cheo chake, eti kwasababu anatuhumiwa ugaidi?
Fahamu ndio mdudu gani?
Lwakatare haoni aibu kuwahusisha viongozi cdm kwa alilojaribu kufanya yani ugaidi kwa mhariri wa mwananchi bado anaropoka
Nimepata mstikko kwa kiongozi kama lwakatare kusema kunawatu ndani ya chadema wanawasaliti inamaana viongozi wa chadema wanajua kiongozi huyu alichotarajia kufanya yani kumdhuru mhariri wa wmananchi,kwa kusema amesalitiwa na wapenda haki ndani ya chadema analalamika je polisi, usalama wa taifa mkowapi kwa kauli hii ya lwakatare amedai viongozi wakuu wa chadema wanajua mikakati yote isipokua wasaliti waliotoa siri ndo wanaiaribu chadema naamini polisi mtafanya kazi yenu kwani ushahidi wa kutosha upo. Source ya lwakatre kusema hayo soma fahamu.
mm ni mzalendo sina haja na ulowataja bali mpenda uadilifuhv kweli unaamini habari hii inaukweli?? Naomba nikuulize kn nape, mwingulu,komba, wassira wako wapi wasiishadadie kauli hii kama ina ukweli??
Acha kuingia mkenge ww
Nimepata mstikko kwa kiongozi kama lwakatare kusema kunawatu ndani ya chadema wanawasaliti inamaana viongozi wa chadema wanajua kiongozi huyu alichotarajia kufanya yani kumdhuru mhariri wa wmananchi,kwa kusema amesalitiwa na wapenda haki ndani ya chadema analalamika je polisi, usalama wa taifa mkowapi kwa kauli hii ya lwakatare amedai viongozi wakuu wa chadema wanajua mikakati yote isipokua wasaliti waliotoa siri ndo wanaiaribu chadema naamini polisi mtafanya kazi yenu kwani ushahidi wa kutosha upo. Source ya lwakatre kusema hayo soma fahamu.
Gazeti la kiislam la kila wiki
acha kudharau muslimsahaaaa haya
mm ni mzalendo sina haja na ulowataja bali mpenda uadilifu
mm ni mzalendo mpenda uadilifu na sina bias ukikosea nakukosoa ukipatia nakupa 5 face challenge rather than kiddingmleta thread hii ni gamba
Kweli ujinga ni kipaji kwa baadhi ya watu!! Anamsema Ludovick aliyenunuliwa kwa 50,000 ili afanye ujinga ule. Polisi siyo wajinga kiasi hicho kufanya haya unayoyasema!!Lwakatare haoni aibu kuwahusisha viongozi cdm kwa alilojaribu kufanya yani ugaidi kwa mhariri wa mwananchi bado anaropoka