soma uzi wapi ludovick na ludovick ana cheo gn km kiongozikweli ujinga ni kipaji kwa baadhi ya watu!! Anamsema ludovick aliyenunuliwa kwa 50,000 ili afanye ujinga ule. Polisi siyo wajinga kiasi hicho kufanya haya unayoyasema!!
Maccm bana kila kitu kukamata tuuuuuu chama mtajenga lini??
![]()
kama ujaelewa umechangia vp shame on u unazani uko katerero hpkwanza hata sijui computer umejifunzia wapi kama hata kusoma vizuri na kuelewa hujui.
w jamaa ni mdini snfahamu ni gazeti la dini!
kwanza rekebisha heading yako hacha uandishi kama wa kiudaku.
mkuu lina milikiwa na waislam augazeti la kiislam la kila wiki
Mkuu maoni ya lwaka ni yapi sasa baada ya kubaini udhaifu huo ndani ya chadema.Nasikia Lwaks anamlaumu sana Mbowe na Slaa anasema chama kimekuwa kapu la mtu
fahamu ni gazeti la dini!
Nimepata mstikko kwa kiongozi kama lwakatare kusema kunawatu ndani ya chadema wanawasaliti inamaana viongozi wa chadema wanajua kiongozi huyu alichotarajia kufanya yani kumdhuru mhariri wa wmananchi,kwa kusema amesalitiwa na wapenda haki ndani ya chadema analalamika je polisi, usalama wa taifa mkowapi kwa kauli hii ya lwakatare amedai viongozi wakuu wa chadema wanajua mikakati yote isipokua wasaliti waliotoa siri ndo wanaiaribu chadema naamini polisi mtafanya kazi yenu kwani ushahidi wa kutosha upo. Source ya lwakatre kusema hayo soma fahamu.
this country has a big number of lesbians