Kumbe Lwakatare aliuzwa na viongozi wa Chadema, leo hii ndiyo umejua, unacheza na kaskazini wewe.
Uko obsessed sana na jina langu...aibuMkuu Ritz
jamaa wakishakutumia lazima wakupake choo kama hawatakutafuta na sumu lazima wakuumbue; unafanya mchezo na mkurugenzi wa fitina na majungu Chadema Ben Saanane? Hiyo taaluma kule India mdosi akipanga kukumiza lazima akuumize uliza waliofanya kazi na wadozi!!
Uko obsessed sana na jina langu...aibu