Kwa sababu kamuona Mbowe mwenyewe ni mnafik.
Hivi Lwakatare ni Mchagga?
Kwa kukujuza na kwa mujibu wa makachero wetu ndani ya chadema; Kasheshe iliyopo ndani ya chadema sasa hivi ni kati ya Mbowe, Slaa na Mtei, kama hujui uliza. Josephine kinara wa matatizo.
Ukiacha ile ya Zitto na Mbowe, halafu kuna Mnyika anatoswa na mbio zake zimeishia sakafuni. Nassari kibaraka wa Lema na Mbowe na siasa yao kubagua wasio Wachagga. Slaa anaonekana msaliti kwa kujikopesha mwenyewe mifedha bila idhini ya Wachagga na kumuweka Josephine kuwa ndio kinara wa mahesabu ya makao makuu.
Lwakatare anaonekana ni kibaraka ndani ya Chadema kwa kuwa ni mtu wa system siku nyingi.
Zitto ndio kabisa, siku hizi kaamuwa kujifanyia mambo yake peke yake, haswa baada kunyamazishwa na Barrick (aliwasahau wenzake).
Kina Makene ndio watu wa chokochoko na wanatumiwa bila kujijuwa. Lwakatare anaona kuwa siri zake kuna mtu anazotoa kutoa ndani ya chama, ni kweli si uongo, kwani kuna watu humo ndani hawakubaliani na mbinu zake za ukatili.
Mambo hayakai sawa humo mpaka madaraka yaondoke kwenye ukoo, na chadema iwe ni kweli chama cha demokrasia.
Jee, Wachagga watakubali?
Kasheshe.