LWAKATARE: Kuna unafiki CHADEMA

LWAKATARE: Kuna unafiki CHADEMA

Dah! hii hatari, kama maneno haya kweli ameyasema yeye mwenyewe Lwakatare, basi tumache aseme kwasababu kusalitiwa kuna uma sana,mwacheni atoe dukuduku lake la moyoni ili moyo wake uridhike,lakini kama anasingiziwa haku sema hayo maneno basi hilo gazeti liombe radhi.
 
Kama hatakuja kukanusha habari hizi, basi alikosa cha kuongea wakati watu walikusanyika wakitegemea atakuwa na mapya mengi baada ya kupata bail!
 
Alikuwa akimrejea LUDOVICK,Mtela Mwampamba na Juliana Shonza na kuahidi kupambana na vigagula waliobaki kuitumikia CCM ndani ya CHADEMA.
 
Hawa wanasiaasa wanatuchanganya sana.

Sasa kama alishazungumza na Mbowe kuhusu unafiki ndani ya chama, kwanini aende kulizungumzia hilo tena kwenye mkutano wa hadhara? Au viongozi wa juu wa chama hawaelewani?

Kweli, kufikia ukombozi wa kweli ni mission.

CHADEMA imekuwa kama serikali ya CCM, viongozi wa juu wote chamani wanalalamika; Zitto analalamika, Lwakatare analalamika! Sasa nani atachukua hatua?
CDM wamezidi sana kila kukicha hawaishi kulalama
 
Mnafiki wa kwanza ni Mbowe na Dr Slaa. Hawa wamekuwa wachonganishi wakubwa ndani ya chama. Wamekuwa na chuki na ubinafsi ndani ya miooyo Yao. Ni wakabila wakubwa na wadini waliokubuhu.
 
Nasikia Lwaks anamlaumu sana Mbowe na Slaa anasema chama kimekuwa kapu la mtu
 
Hawa wanasiaasa wanatuchanganya sana.

Sasa kama alishazungumza na Mbowe kuhusu unafiki ndani ya chama, kwanini aende kulizungumzia hilo tena kwenye mkutano wa hadhara? Au viongozi wa juu wa chama hawaelewani?

Kweli, kufikia ukombozi wa kweli ni mission.

CHADEMA imekuwa kama serikali ya CCM, viongozi wa juu wote chamani wanalalamika; Zitto analalamika, Lwakatare analalamika! Sasa nani atachukua hatua?

Ukiona hivyo anajiandaa kugombea ubunge huko kwao.

atakuwa anamsema Zitto tu si mwingine manake yule dogo uswahiba wake na magamba unatia shaka sana
 
Fahamu ni gazeti la CUF na Mhariri ni Mtatiro sasa unategemea liandike vipi?

CUF = CCM (FAHAMU=UHURU)
kwa hiyo walichonadika ni sawa

Hawa Fahamu ni ulojo mtupu, si ndiyo waliandika kuwa Ludovick aliwai kuitumikia Vatican?
 
Lakini huyu gaidi Lwaks amenena Leo kwa Mara ya kwanza. Sijawahi kumkubali lakini si amesema yy ni kila kitu basi awaraje hadharani na sio kukaa pale Coffe tree inn hotel na kuanza kuwasema viongozi wa juu kwa Siri na kwa kificho. Wataje adharani hao akina Mbowe na Slaa na sio kuwasema kwa kificho.
 
Huyu gaidi Lwaks tangia ametoka CUF utafikiri amepigwa laana maana mambo yake yanakuwa magumu siku hadi siku. Hanogi kwa siasa wala kwa usawishi. Kazi aliyonayo sasa ni Ugaidi tu
 
Ukiona hivyo anajiandaa kugombea ubunge huko kwao.

atakuwa anamsema Zitto tu si mwingine manake yule dogo uswahiba wake na magamba unatia shaka sana

Huyu dogo si ndiyo alitoa pendekezo kuwa Lwakatare avuliwe cheo chake, eti kwasababu anatuhumiwa ugaidi?
 
Back
Top Bottom