Gazeti la fahamu, ndio gazeti gani hilo!
Au ndio magazeti dada Na uhuru, Habari Leo na Africa Leo!
Gazeti la waliberali cuf na ccm unategemea nini?
watu wa chadema sasa mnabishana mpaka na magazeti,mlianza kubishana na video ile sasa mmehamia kwenye magazeti,kiukweli lwakatare kafunguka kinoma,na ameahidi kufuata nyayo za mpiganaji chacha wangwe,hatoki chadema atapambana humo humo,namshauri aungane na mzee shibuda na zitto kabwe kuisafisha chademaYaani magazeti yote hayana habari hii isipokuwa Gazeti la CUF Fahamu!!
[h=5]Kauli ya Lwakatare ya wazindua Watanzainia:-Tunawambia chadema ni chama cha wachaga munatukana sasa tazameni haya 1. zitto kabwe 2. Lwakatare 3. Chacha wangwe 4. Kafulila 5. Legia mtema wote wengine waliuwawa kwa sababu ya nyota zao, wengine wametengwa wametukanwa sana wamefedheheshwa lakini wachaga wote wanasifiwa sana hata kama hawana nguvu kwenye chama, wewe chezea chaga bwana itakula kwako,
NAshangaa sana watu wanao lenga "kukomboa" nchi wanashindwa kujikomboa wenyewe!kama kweli cdm mnania ya kuchukua nchi nilazima muwe wamoja otherwise mtakua wasindikizaji tu.
NAshangaa sana watu wanao lenga "kukomboa" nchi wanashindwa kujikomboa wenyewe!
we are almost 30 month to next presidential elections and they are still fighting internally!
Chama kingekua serious na mission yake ya "kukomboa Tanzania" kingekua hivi kweli?
What's the official view of CDM on the constitution? How will they define their candidate?
Are they planing to build alliances? on what basis? What's their agenda? Swali ni nyingi
na muda wa kujibu maswali unazidi kupotea wakati viongozi are too busy looking at each other.
The fact that CCM faces similar challenges is not an excuse, CCM is the winner in case of status quo