Plan E ni Mapinduzi feki,refer J.Bkuna mtu atajinyonga hapa na mbwembwe zao hawa ni Mwigulu na Nape.
Plan A udini,plan B ukabila, plan C Ukanda,plan D ugaidi zimeshindikana.
plan E sijui itakuwaje.
.
Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.
Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa Chadema walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa Chadema waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.
Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
Mwenyezi Mungu subuhana uwatahalla atukirimie rehema zake katika safarii hii ngumu tupitayo yenye milima na mabonde. Kwa uwepo wake twajua tutafika tuu nchi ya ahadi.Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta mashtaka yote ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfed Lwakatare.
Taarifa kutoka Mahakama Kuu zinasema Mahakama Kuu imebakiza shitaka moja tu, la utekaji ambalo kimsingi ni Jinai na lina dhamana.
Taarifa zaidi zinasema ni shangwe kuu kutoka kwa wafuasi wa Chadema walioko mahakamani na Familia ya Lwakatare.Baadhi ya wafuasi wa Chadema waliohojiwa wamesema huu ni ushindi mkubwa dhidi ya udhalimu.
Katika kesi hii Lwakatare anawakilishwa na Jopo la mawakili nguli watano ambao ni Mabere Marando,Tundu Lissu,Professor Abdallah Safari,Peter Kibatala na Naronyo Kicheere.
Lwakatare amefutiwa mashitaka yote ya ugaiidi na judge wa mahakama kuu.
Amebakiwa na shitaka moja tu linalohusu madai.
Mbona unatetemeka???huu ni uongo wa juu kabisa, lwakatare hajafutiwa mashtaka ya ugaidi
Mkuu si useme zaidi, au unakimbizwa? Hii habari ni nyeti sana, si ya kuileta kiharaka hivyo. Tuambie amefutiwa halafu kimekuwa nini? Hana kesi ya kujibu? Au imekuwaje sasa? Yupo huru?