Bora mzinzi kuliko mapadre wanaogeuza watoto wa kiume chakla. Halafu wewe kunguruuu naomba jina la padre mmoja tu unaemjua ambae hatembei na mke wa mtu.Makanisa mengine haya yalianzishwa na wahuni kujitafutia mamlaka na mlo. Lingine lile lilianzishwa na mzinzi
Nashukuru kama wamemaliza vizuri, askofu katumia busara kuomba radhi
Vikanisa vingine bwana!Kanisa MAKINI,THABITI NA LENYE MSINGI IMARA ni KATHOLIC PEKEE!
Chimbuko la kanisa katoliki ni Mungu mwenyewe,,la sivyo mtaje aliyelianzisha, siyo kama makanisa ya wafuatao, Luther, mfalme mzinzi wa Uingereza, Anna the baptist, Zwingli, Gwajima, Kikobe, yule mama kichaa mweupe, nkHivi unajuachimbuko la cathoric?? Au nawewe ndio muumuni wa nabiii Tito
Hebu iambie akili yako, ianze kutafuta ukweli na sio kula makombo yasiojulikana yalikotokaChimbuko la kanisa katoliki ni Mungu mwenyewe,,la sivyo mtaje aliyelianzisha, siyo kama makanisa ya wafuatao, Luther, mfalme mzinzi wa Uingereza, Anna the baptist, Zwingli, Gwajima, Kikobe, yule mama kichaa mweupe, nk
Lakini amepata funzo, kuchelewa ni sababu ya yaliyotokea pengine Mungu alipanga iwe hivyo, tuwaombee viongozi wetu wa kiroho, jpm simwombeagi mieAlitakiwa afanye hivyo tangu hiyo 2016. Waache huu ukengemfu wa kiroho toba ni ya siku zote / kila uchao kila nukta ya muda,wao wanapanga siku maaulu eti tangu 2016!!!. Tuwaombee hawa viongozi wetu wa kiroho ingwa wengi wao hawaombi kuombewa kama mh Rais wa JMT.
[emoji23][emoji23]Mkuu tafadhali tulia, tafuta mahala ukae uandike vizuri.
Usiwe unaandika huku unatembea.
Kama IQ yako haiko chini ya ya zinjathropus, basi mtaje aliyelianzisha,Hebu iambie akili yako, ianze kutafuta ukweli na sio kula makombo yasiojulikana yalikotoka
Unamsingizia Mungu, kwa ufupi muulize baba paroko ya injiri ya barnaba haipo katik bible ya cathoric???? Halafu uje hapa haraka tukupe nondo.
Lakini amepata funzo, kuchelewa ni sababu ya yaliyotokea pengine Mungu alipanga iwe hivyo, tuwaombee viongozi wetu wa kiroho, jpm simwombeagi mie
Una ushahidi gani, labda kama anatembea na mama yako huo ushahidi unaweza kuwa nao. haya mambo yanafanyika kwa siri, umejuaje?Bora mzinzi kuliko mapadre wanaogeuza watoto wa kiume chakla. Halafu wewe kunguruuu naomba jina la padre mmoja tu unaemjua ambae hatembei na mke wa mtu.
Kwakifupi kabisa futilia historia ya ROMA, na utaelewa nini walichfanyiwa true christian ambao waliokuwa wanamuamini Yesu kam nabii na sio kuabudu picha na masanam.Kama IQ yako haiko chini ya ya zinjathropus, basi mtaje aliyelianzisha,
Una ushahidi gani, labda kama anatembea na mama yako huo ushahidi unaweza kuwa nao. haya mambo yanafanyika kwa siri, umejuaje?
Acha matusi, kunguru ni tusi. Nikipenda nitakurudishia. jibu hoja. These are the facts!
“Factum Probandum"
King Henry VIII
It was not that King Henry VIII had a change of conscience regarding publishing the Bible in English. His motives were more sinister… but the Lord sometimes uses the evil intentions of men to bring about His glory. King Henry VIII had in fact, requested that the Pope permit him to divorce his wife and marry his mistress. The Pope refused. King Henry responded by marrying his mistress anyway, (later having two of his many wives executed), and thumbing his nose at the Pope by renouncing Roman Catholicism, taking England out from under Rome’s religious control, and declaring himself as the reigning head of State to also be the new head of the Church. This new branch of the Christian Church, neither Roman Catholic nor truly Protestant, became known as the Anglican Church or the Church of England. King Henry acted essentially as its “Pope”. His first act was to further defy the wishes of Rome by funding the printing of the scriptures in English… the first legal English Bible… just for spite.
Sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu, kumbuka Mungu alivyomjibu Samweli wakati Israel wakimtaka Sauli awe mfalme wao, Maamuzi yake yananigusa ila naamini ndilo kusudi la Mungu iwe hivyo, sio kila tunachokitaka kiwe, nashukuru kwa uwepo wake ila simwombeiUnafanya kosa la kiufundi maana maamuzi yake yatakugusa tu, either directly or indirectly so inabidi/lazimika tuendelee kumuombea apate peace of mind na afanye maamuzi yake kwa hekima na busara.
Sio kila mamlaka inatoka kwa Mungu, kumbuka Mungu alivyomjibu Samweli wakati Israel wakimtaka Sauli awe mfalme wao, Maamuzi yake yananigusa ila naamini ndilo kusudi la Mungu iwe hivyo, sio kila tunachokitaka kiwe, nashukuru kwa uwepo wake ila simwombei