Lutheran Mtwara kimenuka tena...

Lutheran Mtwara kimenuka tena...

Uongozi wa kuwekana kimikakati kwa malengo ya kukidhi nia za kibinadamu badala ya Mungu ndiyo imepelekea hayo kutokea, watu wamepeana madaraka wakatengeneza Dayosisi bila kukidhi vigezo kwa lengo la kuchuma na kumpelekea aliyewateua, hayo ndiyo matokeo yake,

Siku chache zilizopita nasikia kuna mazishi kule Mafinga na Malangali yalisindikizwa na patrol ya polisi, kisa askofu wa Dayosisi husika hatakiwi kabisa katika eneo hilo
Umesema ukweli, ni hatari watumishi wanapounda mitandao ya kupeana madaraka na ulaji. Imefika mahali mtu anatengenezewa dayosisi ili kuleta amani, hii ni aibu.

Vv
 
Umesema ukweli, ni hatari watumishi wanapounda mitandao ya kupeana madaraka na ulaji. Imefika mahali mtu anatengenezewa dayosisi ili kuleta amani, hii ni aibu.

Vv

Kabisa Mkuu, hatukuzoea wala kutegemea kuona injili inatangazwa mgongoni kukiwa na mtutu wa bunduki kama mkutano wa siasa,
 
Jumlisha na wale walimu wa madrasa wanaowanajisi watoto,halafu utembee kidoooogo zenji na Mombasa kwa wale wenye sijida km nakoz za tong poo utuletee ripoti za uzima wa vinyeo vya watoto
Mombasa kufanya nini mapadre tunawashuhudia ktk mahakama za Far ? Au mpaka tutaje majina humu ?
 
Mombasa kufanya nini mapadre tunawashuhudia ktk mahakama za Far ? Au mpaka tutaje majina humu ?
Na huyu kiongozi wenu wa dar anaesasambuliwa huko insta nae umtaje na hayo anayotajwa kuyapenda sana
 
Kuna rafiki yangu alitongoza sister na akamgegeda kabisa
kwani sista ni malaika? watu walimgegea Maria Magdarena iweje huo sista aliyeingia utawanani kwa kupigiwa debe na shangazi yake?
 
Back
Top Bottom