shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,515
wewe ni reeCatholic hamtoi sadaka, mnaendeshwa kinyumbu kutoka Vatican

Vikanisa vingine bwana!Kanisa MAKINI,THABITI NA LENYE MSINGI IMARA ni KATHOLIC PEKEE!
Amesahau kutujulisha hii ni breaking news .anatujulisha tukio lilotokea ghafla na linalo endeleaEleza vizuri.
Sijaelewa chochote hapa....Hali ni tete ibada ya toba imepigwa chini waumini wameamua kuaimba mwanzo mwisho..
Jpli ilio pita iliamuliwa na uongozi wa kanisa Luth Mtwara jpli ya leo iwe siku ya toba kwa yale yalitokea 2016. Kama mtakumbuka 2016 waumini waliweka mabango kwenye madhabau kumpinga alie kuwa askofu mkuu wakanisa kuwa sio mwaminifu kwa fedha za kanisa. Jambo limewakera waumini nikuitishwa kwa ibada hiyo pasipo kufanyiwa maamuzi yao.
Leo ilipaswa nguo rasmi iwe black kwa waumini wote ila ajabu yake watu wamepiga full white nakutovaa nguo ilikubalika.
Pili badala yakuwepo kwa ibada wameamua wapige pambio mwanzo mwisho.
Tunamshukuru RPC mtwara vinana wake wapo na sare za kimtaa wanaangalia hali ya usalam..
Update
At last ibada imeanza na wale wamesema tutapiga pambio mwanzo mwisho hawajatoa update.. Nitawajuza soon..
Ulinzi umeimarishwa ilabkwa taratibu za kuongoza ibada za kilutheri kiongozi ndio anaongoza wimbo wakuingia ila baada ya tafaruku fulani yakumzuwia mtumishi atimae ameingia ila ajabu yake nikuwa askofu na watu wake wanaimba nyimbo yao wakati waumini pia wakiimba wimbo wao pia yani hali ni yakusikitisha. Waumini hawamtaki Askofu na uongoz mzima wa kanisa ndivyo unesimamia.View attachment 690156
Sasa amekikalia kiti mkuu wa kanisa ambaye waumini hawamtaki
Ngoja tusubiriView attachment 690163
Wewe hujawahi kuzini? Au hata wazazi hawajawahi kuzini ? Huo ni udhaifu binafsi na si policy ya dini/dhehebu!Vipi mapadri wanaolawiti watoto na kuzini?
Vipi masister wanaozini kila uchao?
Taarifa nzuri na amejitahidi kufikisha kwa muda na amehaidin kuendelea kutujuza, nadhani taarifa ya pili itatulia kwani utulivu utazidi.
Kweli hayati baba wa taifa alikuwa sahihi aliposema dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu.. Mmemaliza kusema wale waislamu na sisi wakristo na sasa mmeanza kubaguana wenyewe.Vikanisa vingine bwana!Kanisa MAKINI,THABITI NA LENYE MSINGI IMARA ni KATHOLIC PEKEE!
Mimi sitakutukana na kupa facts! FactumShame!uzinzi wako uwasingzie wengne!lol!mkuu kanisa la catholic,is a real devil worshiper,
Yupo kanisani na anapost Jeiefu...unadhani ataelezea vizuri kweli?Eleza vizuri.
Yupo kanisani na anapost Jeiefu...unadhani ataelezea vizuri kweli?
Umbea ni profesheni ujue
Uandishi wako wa hovyo sana mkuu, jaribu kuwa unapo andika kabla ya kupost uhariri kwanza ili ujumbe wako uwe umeeleweka vizuri zaidi kwa wasomajiHali ni tete ibada ya toba imepigwa chini waumini wameamua kuaimba mwanzo mwisho..
Jpli ilio pita iliamuliwa na uongozi wa kanisa Luth Mtwara jpli ya leo iwe siku ya toba kwa yale yalitokea 2016. Kama mtakumbuka 2016 waumini waliweka mabango kwenye madhabau kumpinga alie kuwa askofu mkuu wakanisa kuwa sio mwaminifu kwa fedha za kanisa. Jambo limewakera waumini nikuitishwa kwa ibada hiyo pasipo kufanyiwa maamuzi yao.
Leo ilipaswa nguo rasmi iwe black kwa waumini wote ila ajabu yake watu wamepiga full white nakutovaa nguo ilikubalika.
Pili badala yakuwepo kwa ibada wameamua wapige pambio mwanzo mwisho.
Tunamshukuru RPC mtwara vinana wake wapo na sare za kimtaa wanaangalia hali ya usalam..
Update
At last ibada imeanza na wale wamesema tutapiga pambio mwanzo mwisho hawajatoa update.. Nitawajuza soon..
Ulinzi umeimarishwa ilabkwa taratibu za kuongoza ibada za kilutheri kiongozi ndio anaongoza wimbo wakuingia ila baada ya tafaruku fulani yakumzuwia mtumishi atimae ameingia ila ajabu yake nikuwa askofu na watu wake wanaimba nyimbo yao wakati waumini pia wakiimba wimbo wao pia yani hali ni yakusikitisha. Waumini hawamtaki Askofu na uongoz mzima wa kanisa ndivyo unesimamia.View attachment 690156
Sasa amekikalia kiti mkuu wa kanisa ambaye waumini hawamtaki
Ngoja tusubiriView attachment 690163
Ibada imeanza robo wametoka na nusu kwa nusu wamebaki kanisani ila nusu wamekaa nusu wamesimama.
Elim elim elimMbona unaandika kana kwamba wote tupo hapo kanisani. Eleza vizur. Nin kimenuka na kwanin kimenuka.
Labda kmenuka kilichooza mkuuKabla kilinuka lini?
Hiv unafikir ana haraka kwan?Ndo umeleta nini sasa, ungetulia ukaandika vizuri, haraka ya nini?
Ni ujnga wa imani mambo ya kiimani kuyaleta humu maana hautapata lolote la maana zaidi ya kudharilisha huko unako abudu,migogoro ya kiimani kuileta kwa wa dunia ni kulitukanisha kundi lako,Hali ni tete ibada ya toba imepigwa chini waumini wameamua kuaimba mwanzo mwisho..
Jpli ilio pita iliamuliwa na uongozi wa kanisa Luth Mtwara jpli ya leo iwe siku ya toba kwa yale yalitokea 2016. Kama mtakumbuka 2016 waumini waliweka mabango kwenye madhabau kumpinga alie kuwa askofu mkuu wakanisa kuwa sio mwaminifu kwa fedha za kanisa. Jambo limewakera waumini nikuitishwa kwa ibada hiyo pasipo kufanyiwa maamuzi yao.
Leo ilipaswa nguo rasmi iwe black kwa waumini wote ila ajabu yake watu wamepiga full white nakutovaa nguo ilikubalika.
Pili badala yakuwepo kwa ibada wameamua wapige pambio mwanzo mwisho.
Tunamshukuru RPC mtwara vinana wake wapo na sare za kimtaa wanaangalia hali ya usalam..
Update
At last ibada imeanza na wale wamesema tutapiga pambio mwanzo mwisho hawajatoa update.. Nitawajuza soon..
Ulinzi umeimarishwa ilabkwa taratibu za kuongoza ibada za kilutheri kiongozi ndio anaongoza wimbo wakuingia ila baada ya tafaruku fulani yakumzuwia mtumishi atimae ameingia ila ajabu yake nikuwa askofu na watu wake wanaimba nyimbo yao wakati waumini pia wakiimba wimbo wao pia yani hali ni yakusikitisha. Waumini hawamtaki Askofu na uongoz mzima wa kanisa ndivyo unesimamia.View attachment 690156
Sasa amekikalia kiti mkuu wa kanisa ambaye waumini hawamtaki
Ngoja tusubiriView attachment 690163
Ibada imeanza robo wametoka na nusu kwa nusu wamebaki kanisani ila nusu wamekaa nusu wamesimama.
Kijana anaitwa Macha amesimama nakusema watu hawana amani itafutwe njia yakuleta usuluhishi watu wameshamgilia sana nakufurahi watu next no one know ibada ndio inaisha.
Update
Baba Askofu ametoa neno lakuomba radhi na washarika ndio wanamsikiliza.
Jamaa kaamua kutuoneshea kiwango cha ujinga wake kiimani,Hlf jukwaa la siasa unailetaje huku, kumbe kanisani huwa unaota siasa tu, unaandika ukiwa kanisani?