Lusinde: Serikali isifikirie adui ni CHADEMA, ni watendaji!

Mgonjwa mahututi akiomba chakula au maji....jua israel ndo anamchukua hivyo
 
Duu kumbe huyu jamaa wakati mwingine aliweka kando itikadi za kisiasa huwa anaongea point.

Kasema - Mawaziri WABUNGE wakitembelea vijiji wapewe maji wanavyokunywa wanakijiji ili wajue shida ya maji vijijini.

Pia kasema CHADEMA sio adui, maadui ni watendaji wa Serikali.

Pia kaponda uchimbaji wa visima kwa gharama kubwa. Kashangaa ilikuwaje Serikali ya Nyerere iliweza kujenga mabwawa na Serikali hii imeshindwa.

Kkamalizia kwa kutounga mkono hoja

We unadhani setani hajui kuwa kuna Mungu!?!?
 
Inapendeza pale U-CCMquine na U-Chademaquine unapowekwa kando na kuifikiria Tanzania!!!! big up!!
 
Amewekwa chini na wazee wa Chama chao wakamfunda kidogo namna ya kuongea, hata mwigulu leo nae kaongea politly. Watakuwa wamepewa warning ila walikuwa wanakijenga chama chao vizuri
 
Duu kumbe huyu jamaa wakati mwingine aliweka kando itikadi za kisiasa huwa anaongea point.

Kasema - Mawaziri WABUNGE wakitembelea vijiji wapewe maji wanavyokunywa wanakijiji ili wajue shida ya maji vijijini.

Pia kasema CHADEMA sio adui, maadui ni watendaji wa Serikali.

Pia kaponda uchimbaji wa visima kwa gharama kubwa. Kashangaa ilikuwaje Serikali ya Nyerere iliweza kujenga mabwawa na Serikali hii imeshindwa.

Kkamalizia kwa kutounga mkono hoja

Huo ni uthibitisho tosha kuwa upuuzi tunaoshuhudia mle Bungeni ni maigizo na unafiki usio mfano. Upuuzi huo unatokea pale Wah hawa wanapoacha kuwasilisha hoja za waajiri wao (Wananchi) na kuamua kujiwakilisha wenyewe.
Kama Wabunge wataelekeza uwakilishi wao kwenye hoja zinazohusu Wananchi hizo kejeli,matusi na vituko tunavyoviona vitakwisha.
 
Au amenukuliwa vibaya? Siamini kama anaweza kuwapa complement chadema.

Kayaongea hayo leo bungeni mkuu, tena ukimuangalia usoni alikuwa anaonyesha anamaanisha hayo aliyokuwa anayaongea.
 
Job Lusinde, akichangia hoja Bungeni................alimalizia kwa kusema Haungi Hoja Mkono!......

Huyo ndio Lusinde Mbunge Kijana na Msomi kutoka Jimbo la Mtera!!
Mi ndo nachanganya majina au?
???Job...... au ....???Livingstone.....
???Lusinde.....??Ndugai
 
Amewekwa chini na wazee wa Chama chao wakamfunda kidogo namna ya kuongea, hata mwigulu leo nae kaongea politly. Watakuwa wamepewa warning ila walikuwa wanakijenga chama chao vizuri

Yawezekana mkuu leo alikuwa tofauti kabisa.
 
kanifurahisha kwa kauli yake eti akija waziri mkuu,nyie wekeni jagi la maji na vikombe hapo mezani na yeye anywe hayo maji na sio kuweka chupa ya kilimanjaro......
 
Siku nyingine huwa wanatia akili kichwani ila mara nyingi wanapenda kujifanya mazwezwe. Thubutu DHAIFU, Pinda au Waziri aende kijijini halafu asikie kiu kama atakunywa maji wanayokunywa wanavijiji!!! huwa wanasafiri na maji yao.

Duu kumbe huyu jamaa wakati mwingine aliweka kando itikadi za kisiasa huwa anaongea point.

Kasema - Mawaziri WABUNGE wakitembelea vijiji wapewe maji wanavyokunywa wanakijiji ili wajue shida ya maji vijijini.

Pia kasema CHADEMA sio adui, maadui ni watendaji wa Serikali.

Pia kaponda uchimbaji wa visima kwa gharama kubwa. Kashangaa ilikuwaje Serikali ya Nyerere iliweza kujenga mabwawa na Serikali hii imeshindwa.

Kkamalizia kwa kutounga mkono hoja
 
Amewekwa chini na wazee wa Chama chao wakamfunda kidogo namna ya kuongea, hata mwigulu leo nae kaongea politly. Watakuwa wamepewa warning ila walikuwa wanakijenga chama chao vizuri

mimi wataniuzi kama wataanza kuchangia kitanzania badala ya kichama! waitetee ccm tuu!
 
kuna posho lazima wenzake wakina Chemba watakua wamemrusha si bure
 
Leo mchana nimebahatika kumsikia Mh, saana Job Lusinde, akichangia hoja Bungeni kuhusu swala la Maji!

Alisema kwamba swala la Maji ni swala nyeti sana na si la Kisiasa kama ambavyo inachukuliwa!
Aliendelea kusema kwamba kama Wabunge wataendelea kumbana sana Profesa na Dokta, [Nadhani alimaanisha Waziri wa Maji na Naibu wake] itakua sio sahihi!

Japo alisema swala la Maji tusifanye Siasa, hapo hapo akajisahau na kuchomekea eti kua kama swala ni Uprofesa na Udokta, mbona tunao Profesa na Dokta waliogombea Urais mara nyingi na wameshindwa!!

Point ya mwisho aliyoiongea alisema kwamba swala la Maji Waziri ahakikishe wanalishugilikia kwa ukamilifu na kwamba Serikali inaweza ikadhani Adui yake ni CHADEMA, kumbe sio ila Adui ni Matatizo yanayowakabili wananchi!
Baada ya kuongea mambo mengi sana alimalizia kwa kusema Haungi Hoja Mkono!

Huyo ndio Lusinde Mbunge Kijana na Msomi kutoka Jimbo la Mtera!!

Huyo jamaa anaitwa Livingstone Lusinde. Akili yake na akili ya Job Lusinde japo wanaweza wakawa na undugu hazifanani hata kidogo
 
mmmmh!! Lusinde? basi kama ni hivyo sasa akili zimeanza ushirikiano utulie hivyo hivyo zisije zikapangaranyuka tena na siku nyingine utoe mchango mzuri zaidi..
 
Back
Top Bottom