Duu kumbe huyu jamaa wakati mwingine aliweka kando itikadi za kisiasa huwa anaongea point.
Kasema - Mawaziri WABUNGE wakitembelea vijiji wapewe maji wanavyokunywa wanakijiji ili wajue shida ya maji vijijini.
Pia kasema CHADEMA sio adui, maadui ni watendaji wa Serikali.
Pia kaponda uchimbaji wa visima kwa gharama kubwa. Kashangaa ilikuwaje Serikali ya Nyerere iliweza kujenga mabwawa na Serikali hii imeshindwa.
Kkamalizia kwa kutounga mkono hoja

Mheshimiwa.
Salaam.
Umechangia vizuri sana leo. Umeonekana kama mheshimiwa hasa na umependeza sana kuitwa mheshimiwa leo. Siku nyingine unakuwaje?
Umechangia vizuri sana. Kwa maneno mazuri, matamu na yenye ukweli kabisa.
Umesema vizuri kuwa kana maji yakitoka mwakani wenzenu yaani Chadema bila bila shaka watasema ni kwa ajili ya kampeni. Ni kweli. Lakini kwa nini umetumia neno "wenzetu" badala ya maneno yako yale machafu ya zamani? Bila shaka umekuwa mtu mzima sana na uheshimiwa unakustahili.
Mwisho. Hivi ni kwa nini hukuogopa kusema kwa ujasiri kuwa huungi mkono hoja? Ujasiri huu umeutoa wapi? Wewe ambaye mwanzoni ulionekana kama bendera fuata upepo? Bila shaka umetambua ukweli kuwa huwi mpinzani kwa ajili ya kusema ukweli. Utakuwa mkweli hata ukiwa ni muumini wa CCM.
Kwa kweli leo umenifirahisha sana leo na mimi NAKUUNGA MKONO.
Hongera Mheshimiwa wetu. 2015 ni wetu.
Mhh! Komenti zako siku hizi! Au nakufananisha :decision:ameongea akiwa anaota au?????sasa alikua wapi kuyasema hayo siku zote,,au amenong'onezwa kuwa 2015 c mbali