juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,041
Mkiambiwa wabunge wenu wana-blaze msuba mnabisha!si mnaona yule mmoja alitaka uwe legalised?huenda huyu pia siku ukimsikia anabwabwaja ovyo basi ujue keshatupia mambo kichwani yuko high!bi kiroboto kawastukia kapiga marufuku wabunge wote kupenda kukaa vichochoroni wakati wa kazi ila mwigu na Nduga nina wasiwasi huwa wanaficha kwenye soksi!najiskia baridi nikijiuliza kama na wale mawaziri watoro bungeni nao sijui wanakuwaga vichochoroni?!aisee inatisha!kuna siku serikali itaingia gharama za kujenga upya viti vya bunge.nyie subirini tu siku wote wakiwa high!zitapigwa pale!