Lupela ya Ali Kiba yapigwa CCTV

Lupela ya Ali Kiba yapigwa CCTV

huyo mtangazaji aliyeuweka huo wimbo apimwe akili
Sumbai kikwetu maana yake PURU... yaani sehemu ya mwisho ya utumbo mpana kiingereza anus kiswahili puru au Mku...... So sishangai kutaka puru kumwambia binadamu akapimwe akili
 
Sumbai kikwetu maana yake PURU... yaani sehemu ya mwisho ya utumbo mpana kiingereza anus kiswahili puru au Mku...... So sishangai kutaka puru kumwambia binadamu akapimwe akili
teh.... make me sing....
lupela imeziikwa rasmi...
 
Nifah karibu tule,acha waseme,Kiba si saizi yao
Halafu we mbele za watu utapigwa makofi kiba ndio si saiz ya diamond ni saiz ya timbulo,20 percent saiz za dimond ni p square,davido,a.k.a na ndo mana huwezi kusikia kiba ni nominees wa mtv kipengele cha msanii bora africa hata siku moja"
 
facts facts bro
 
Lakin mkuu hii video si imedhaminiwa na wild aid kwe kampeni zao za kupambana na ujangili wa tembo au??coz kwasasa ishu ya ujangili ndo kubwa sana afrika hata ukiangalia kuna makala na kampeni nyingi sana kupinga ujangili BBC,CCTV na vituo vyengine wanaongelea sana!!me sioni ajabu kuonyeshwa cctv ingekuwa mwana au chekecha hapo sawa!!sina chuki yoyote lakin mkuu
Umetumia weledi sana kuandika hayo, kuna mashabiki ambao hawajui dhima kuu ilikuwa ni kitu gani, kila jambo hulichukulia kishabiki zaidi!
 
teh we nakuangalia ukipanik tuu....

make me sing......
Nipanick??... Unacheza ww.. Kiba atawaua yaan pamoja na kufanya kolabo nyiiiiiiiiingi nje ila hamna amani kabisa na hata jamaa yenu amani hana na ndo maana muda wote anarusha rusha vijembe tu kwa king kama mtoto wa kike sisi tunawalook tu puuuumbaaaavuuuu
 
make me sing..bro

essay na povu la nini....

ushaipenda...ha haa...
 
kuna mambo yanaendelea humu ndani sjayapenda. Hivi unaanza vipi kumlinganisha Timbulo na Mfalme? Huku ni kumkosea heshima Timbulo the legend.
 
Nipanick??... Unacheza ww.. Kiba atawaua yaan pamoja na kufanya kolabo nyiiiiiiiiingi nje ila hamna amani kabisa na hata jamaa yenu amani hana na ndo maana muda wote anarusha rusha vijembe tu kwa king kama mtoto wa kike sisi tunawalook tu puuuumbaaaavuuuu
playboy babu Unatumia nguvu nyiiiiiiiiiiiiiiiingi kusifia usichokielewa, (1) Kiba ni balozi wa wildaid na anafanya kwa kujitolea ( kwasababu walishindwana "wildaid"na mwenye muziki wake wa bongo fleva ) hakuna anacholipwa zaidi ya nauli (2) Nyimbo imedhaminiwa na wao (wildaid) na ndio maana wamewaweka tembo wao mwanzo wa nyimbo (3) Yeye si wa kwanza kuonekana na kufanyiwa interview na chanel za kimataifa tena si kwa msaada wa ubalozi wala nini ila kwa sababu ya muziki na si mwingine aliyehojiwa kwa sababu ya muziki wake ila ni DIAMOND na CNN na BBC (4) na hiyo nyimbo imepigwa kwa ajili ya hao tembo na si kingine nadhani unaakili zako utakuwa umeona kipindi kinazungumzia nini.
Hapa CNN walifika Madale kwa DIAMOND kufanya nae mahojiano nae na si kwa sababu ya ubalozi wa kitu chochote ila ni kwa muziki wake tu.
upload_2016-2-16_1-3-32.jpeg

Hii hapa CNN wakizicheza ngoma zake live.
images

Hii hapa na BBC.
upload_2016-2-16_1-0-7.jpeg

images

Na hizi si kwa msaada wa ubalozi ila ni kwa muziki wake.
 
Dah umesahau Diamond CNN walimfuata hapa kwa interview, nimependa Dance za Lupela nice vedeo also
 
Back
Top Bottom