Lupela ya Ali Kiba yapigwa CCTV

Lupela ya Ali Kiba yapigwa CCTV

Tangazo la tembo mnasema nyimbo imepigwa,hata pichani kuna tembo hapo angalieni vizuri
Kiba hana tofauti na Timbulo ndio level yake
 
Wakati wengine wanawaza ngoma zao kupigwa chanell O na trace..ambazo kimsingi no maalum kwa ajili ya burudani habari no kwamba Ngoma Lupela ya king kiba imepigwa kwenye Chanel ya CCTV ambayo kimsingi haijajikita katika masuala ya burudani hii maana yake nini basi??... Maana yake ni kwamba video hiyo si level za Tanzania wala Afrika ila ni levo za Dunia somo kwa ndugu zangu mnaowaza kwamba video nzuri ni YENYE MAUNO MENGI... tafadhali msiendelee kumfananisha KING KIBA na mambo ya kishenzi....
huyo mtangazaji aliyeuweka huo wimbo apimwe akili
 
cctv ina tawi lake kenya na inaitwa cctv kenya kama vile bbc nairobi au france 24 dar kwahyo inaweza kupigwa si kenya tu hapo but haiwezi kupigwa cctv china
Tangazo lolote au kipindi chochote kinachoruka kwenye telvisheni kinatazamwa duniani kote endapo tu hiyo chanell inaonekana dunia nzima. Haijalishi kipindi kimeandaliwa kenya au china. Mfano mzuri EATV wanarusha kipindi cha FNL na kinatazamwa east africa nzima. Acha kutudanganya.
 
Tangazo la tembo mnasema nyimbo imepigwa,hata pichani kuna tembo hapo angalieni vizuri
Kiba hana tofauti na Timbulo ndio level yake
we hebu acha kumfananisha timbulo na mambo ya kisenge
 
Ndio maana wengine tulisema ile video ni ya kutetea Tembo sio ya kibiashara.
 
Kiba mtu mwingine bwana, akitoa kitu lazima ukune kichwa na urudie kuangalia/kusikiliza tena na tena.
Sio yeboyebo ambayo huwezi kuangalia mara mbili kama hili boko la leo make me nini sijui!
Umesahau ule Uzi wako unaojikosha kumsifia Diamond? Ni muda tu, nasubiria kauzi kengine ka kumshobokea (unamchukia huku unampenda kiaina)
 
Sasa hapo cctv huyo Kiba analipwa sh ngapi?
 
CCTV ya wachina, lazima wewe na vibali nchini wasitake kujipendekeza wakidhani tutafurahia huu ujinga.

Magufuli kaza uzi waondoe wakazi feki nchini hata wakipamba nyimbo za bwana tembo katika ikulu yao.
 
Back
Top Bottom