mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,106
Nkasema??? Kuna nn??? hv jaman??? luga?? Wanacomment??? Hivi wewe ujinga utaacha lini? Nyani usieliona kundu lako.Kumbe na ww uliliona mkuu ungenisaidia bwana,maana nimepumzika nkasema ngoja nione jamii forums kuna nn nakuta mtu ameandika huu upumbavu wa hali ya juu,hv jaman hawa watu wanaobadilisha luga kwenda kwenye luga za kwao wanasoma nn hapa duniani halafu wanacomment kwa confidence ya hali ya juu,me hate them so much
Shenzy