playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
- Thread starter
- #21
Sawa kabisa ndugu yangu kwa hiyo kwa dhati kabisa tunakubaliana kwamba hii video ni video yenye maudhui mazito kwa mustakabali wa Tanzania na Afrika kwa ujumla siyo?... Lakin unapoiangalia video hii kwa umakini unapata vitu viwili tofaut umeligundua hilo?..Ni kweli mkuu imepondwa coz haikukaa kiburudani ka zilivyo video zingine watu hawakuielewa hii video zaidi ina ujumbe mzito kuhusiana na masuala ya ujangili wa tembo ndo mana hata ukiangalia mahojiano ya kiba na cctv anataka kupitia mziki wake kuhimiza watu kuacha ujangili ndo mana ikaonyeshwa cctv!!Nadhan itakuwa ni moja ya makubaliano yao kwe kudhamini hii video